Alvin Slain
JF-Expert Member
- Aug 30, 2011
- 6,375
- 3,665
Umeonana na binti leo, na huna uhakika kama utakutana nae tena katika harakati za maisha! Lakini unapomwambia kuwa unampenda,anakuambia Haa! Mbona mapema kuniambia hivo? Sasa nawaomba wanabodi kuna ubaya wowote kukutana na mtu siku hyo hyo ukamwambia lengo lako?