Hivi wanawake wana mioyo gani?

Mwanamke atarespond utakavyo mtreat ni mvumilivu Na mumebeba mambo Na mila Na desturi ndo yanaharibu familia unamuendesha mke Kama Gari bovu Na manyanyaso hivi utapata nini kutoka kwake
 
nimeshawishika kureply humu baada ya kuona hii comment yako yenye uongo mwingi hadi kichefuchefu..

Eti mnapenda mwanaume atakaewajali na kuwathamini kama vile hakuna mwanamke mwingine!! SERIOUSLY??

Hiyo principle ilikuwa workable enzi hizo kwa wanawake waliolewa na babu zetu pamoja na baba zetu walioowa nusu karne iliyopita na wala sio kwa nyie wanawake wa leo hii (WANAWAKE WA MWENDO KASI)

Nyie wanawake wa leo hii mwanaume akiwa submissimive huyo ni dhaifu kwenu, mnamchoka mapema na mnamtafutia makando makando na drama nyingi hadi atakimbia mwenyewe.

Nyie wanawake wa leo hii mwanaume akiwa humble anakaribisha dharau na mnageuka kuwa nyie ndio mababa wenye nyumba, ndoa nyingi siku hizi ambazo mwanamke ndio msemaji mkuu ni lazima utakuta mwanaume ni mpole,mstaarabu,asiye na maneno mengi n.k

Kwa kifupi ni kwamba wengi wa nyie wanawake wa mwendo kasi ni ngumu sana kudumu na aina ya mwanaume unayemuongelea.

Nyie wanawake wa siku hizi mlioathiriwa na globalization mnafaa kupelekwa kihuni tena bila huruma, yaani mwanaume anakuamulia kila kitu cha kufanya... na ni makosa makubwa sana kuishi na mwanamke kidiplomasia huo ndio mwanzo wa kufa mapema na hasa nyie viumbe wa leo msioeleweka mnataka nini hasa.
 
Ukweli mchungu
 
Mleta uzi aliye kuzaa ni mwanamke kweli? Umeandika bila kuweka exceptions angalau uweke (except mama yangu) usiandike kumjumlisha na mama yako Kwa mauchafu iliyoorodhesha na kufunguka juu ya yaliyokutokea na hao wanawake wa mstari wako. Wapo humu wanaume wenzako wanakusoma na wanaishi na wanawake zao Kwa heshima na adabu.
 
Wana moyo kama wa mama yako mzazi, mwanamke mwenzao...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…