Hivi wanawake wana akili ya mapenzi kweli?

kikaragosi

Senior Member
Joined
Nov 14, 2010
Messages
112
Points
170

kikaragosi

Senior Member
Joined Nov 14, 2010
112 170
Nimeamini mwanamke c wa kumuamini na c wote ILA wengi wao cjui wana fikiria kitu gani,Mfano jana kuna demu ameletwa na rafiki yake ambaye ni shem wangu basi tukapiga story sana yule demu akaonyesha dalili ya kunipenda kama unavyojua wanaume nikamuonyesha NAMI nimekufa nimeonza KUMBUKA ndo tumeonana kwa mara ya kwanza basi kwakuwa rafilki yangu amesoma mchezo akabidi ajifanya anaenda kutembea na demu wake ili mm nimalize kazi.Kweli bana tukafanya mambo vibaya mno namshukuru mungu nilikuwa na kinga bila hvyo ningekuwa katika mawazo kama Anangoma kwasabbu amejiraisisha,baada ya rafiki yangu kurudi akaniambia demu wake na huyu demu niliyekula URODA ni mtu na wifi yake,Nikamuuliza ataenda kumwambia kaka yake kama demu wake nimepiga akaniambia wanafichiana SIRI c raisi.NiMEAMINI WANAWAKE NI DHAIFU SANAAAAAAA narudia tena c wote bali wengi wao
 
PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2009
Messages
16,222
Points
1,500

PakaJimmy

JF-Expert Member
Joined Apr 29, 2009
16,222 1,500
Du!
Hakyanani, vituko hivi!...siamini macho!
Anyway, keeping all other parameters constant, you are great, coz a REAL MAN LOVES ON FIRST SIGHT!
Kama ni kweli wanawake walio wengi wanaweza kufanya kitu ya namna hii, hili ni janga!
How come mke wa kaka yake achukuliwe mbele yake, naye anabariki jambo hilo!...Jomba una senti zilizokosa matumizi nini, kiasi waliamua kuja kuzipunguza kwa mtindo wa ku'disregard mahusiano ya ndoa ya kaka yake?
Mbona husemi ulilipia bei gani kufacilitate Uzinzi huo(kumhonga na kumnunulia 'chipthi-kuku')
 
Dot kom

Member
Joined
Aug 12, 2011
Messages
18
Points
0

Dot kom

Member
Joined Aug 12, 2011
18 0
Nimeamini mwanamke c wa kumuamini na c wote ILA wengi wao cjui wana fikiria kitu gani,Mfano jana kuna demu ameletwa na rafiki yake ambaye ni shem wangu basi tukapiga story sana yule demu akaonyesha dalili ya kunipenda kama unavyojua wanaume nikamuonyesha NAMI nimekufa nimeonza KUMBUKA ndo tumeonana kwa mara ya kwanza basi kwakuwa rafilki yangu amesoma mchezo akabidi ajifanya anaenda kutembea na demu wake ili mm nimalize kazi.Kweli bana tukafanya mambo vibaya mno namshukuru mungu nilikuwa na kinga bila hvyo ningekuwa katika mawazo kama Anangoma kwasabbu amejiraisisha,baada ya rafiki yangu kurudi akaniambia demu wake na huyu demu niliyekula URODA ni mtu na wifi yake,Nikamuuliza ataenda kumwambia kaka yake kama demu wake nimepiga akaniambia wanafichiana SIRI c raisi.NiMEAMINI WANAWAKE NI DHAIFU SANAAAAAAA narudia tena c wote bali wengi wao
<br />
<br />
 
Matola

JF-Expert Member
Joined
Oct 18, 2010
Messages
40,025
Points
2,000

Matola

JF-Expert Member
Joined Oct 18, 2010
40,025 2,000
Duh hamna mwanamke hapo ndiyo maana mi huwamega na kupiga chini pumbaffffuuuuuuuu zao!!
Ukipiga chini sisi tunaojuwa kuwatuliza ndio huwa tunawachukuwa, halafu baadae udenda unakutoka unakuja kuomba ushauri JF.
Usiwalaumu sana wanawake, usidhani ndoa zote hapa mjini zanamaanisha kweli ni mke na mume, kuna wanaoowa kuficha aibu za maumbile yao, sasa unataka demu apigwe pipe na nani?
Binafsi nina rafiki yangu na ana mke, na anatembea sana na wanawake wa nje, lakini wale wanawake wananiambia wazi huyu rafiki yako hamna kitu, ananichosha tu kuniingiza vidole kwenye K.
Mbona mimi nimeshawatafuna wengi tu wa aina hii, na mmoja namla leo jioni! Kumbukeni si ndoa zote zenye tendo la ndowa ndani yake, kuta nne zinaficha mambo mengi.
 
FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined
Apr 13, 2011
Messages
67,018
Points
2,000

FaizaFoxy

JF-Expert Member
Joined Apr 13, 2011
67,018 2,000
Tafuteni wake muoe, usijidanganye kuwa ulikuwa na kinga, ni kinga ipi hiyo ambayo iko full proof? condom wamesha sema sio full proof.

Unafanya uasharati halafu unakuja jisifu? ama kweli hili ni Taifa la dhambi.
 
Bajabiri

JF-Expert Member
Joined
Jan 1, 2011
Messages
9,743
Points
0

Bajabiri

JF-Expert Member
Joined Jan 1, 2011
9,743 0
Inawezekana hata huyu aloanzisha uzi ni mtoto tu sasa hayo anayoyasema anahisi ndio sifa,na inawezekana lengo si kuwashambulia wanawake na urahisi wao,lengo ni kuonyesha kuwa amefanikiwa kumpata ,msichana kwa urahisi so labda anahisi atasifiwa,,,,,,,,BWANA MDOGO MTOA MADA HAUPO SIRIAZ HASA KWA ZAMA HIZI,,,,,,,
 
Old Moshi

Senior Member
Joined
Jul 31, 2011
Messages
118
Points
195

Old Moshi

Senior Member
Joined Jul 31, 2011
118 195
wewe unatoa kibanzi kwenye jicho la mwenzio wakati jicho lako lina boriti. Mbona na wewe ulilala nae baada ya kumuona mara ya kwanza. Na wewe pia ni mjinga na si wa kuaminika.
 
TANMO

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2008
Messages
9,182
Points
2,000

TANMO

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2008
9,182 2,000
eti wanafichiana siri, na yeye yuko ok, kuwa demu wake anamfichia siri wifi yake.. Sasa wifi anamfichia siri gani mwenzake? Mwambie rafiki yako afungue macho, Damn it!
 
figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Messages
16,580
Points
2,000

figganigga

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2010
16,580 2,000
Duh hamna mwanamke hapo ndiyo maana mi huwamega na kupiga chini pumbaffffuuuuuuuu zao!!
hii kauli inawauma sana lakini wanatulazimisha kufanya hivyo.mwingine anakua busy na kisimu chake mala aende kuongelea chooni.mwingine unakuta kabisa anajua una demu wako,lakini ukitekenya ufunguo kidogo kashakubali.sikuhizi hawajui kutaniwa.halafu mwisho wa siku unakuta anaanza kuguna guna na kulia bila kutoa machozi.wizi mtupu.nakeleka.mia
 
Ground Zero

JF-Expert Member
Joined
Jan 13, 2011
Messages
342
Points
0

Ground Zero

JF-Expert Member
Joined Jan 13, 2011
342 0
Nimeamini mwanamke c wa kumuamini na c wote ILA wengi wao cjui wana fikiria kitu gani,Mfano jana kuna demu ameletwa na rafiki yake ambaye ni shem wangu basi tukapiga story sana yule demu akaonyesha dalili ya kunipenda kama unavyojua wanaume nikamuonyesha NAMI nimekufa nimeonza KUMBUKA ndo tumeonana kwa mara ya kwanza basi kwakuwa rafilki yangu amesoma mchezo akabidi ajifanya anaenda kutembea na demu wake ili mm nimalize kazi.Kweli bana tukafanya mambo vibaya mno namshukuru mungu nilikuwa na kinga bila hvyo ningekuwa katika mawazo kama Anangoma kwasabbu amejiraisisha,baada ya rafiki yangu kurudi akaniambia demu wake na huyu demu niliyekula URODA ni mtu na wifi yake,Nikamuuliza ataenda kumwambia kaka yake kama demu wake nimepiga akaniambia wanafichiana SIRI c raisi.NiMEAMINI WANAWAKE NI DHAIFU SANAAAAAAA narudia tena c wote bali wengi wao
Ni mambo ya kawaida sana kama unaelewa saikolojia. Usimlaumu kwa tendo, tendo ni matokeo tu ya nguvu fulani. Pia usifanye generalization kwa kutumia mtu mmoja. Huenda ulikutana naye wakati alikuwa kwenye mfadhaiko na hivyo njia ya kujipumzisha ni kupata confort kwako. Tatizo sisi wanaume tunatumia matatizo kama hayo ya wanawake kuwaexploit kimapenzi badala ya kuwapa tiba ya kisaikolojia. Mwanamke anaweza kufanya mapenzi bila hata yeye mwenyewe kujijua ( councioussly) anapokuwa kwenye stress. Next time usifanye hivyo.
 
figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Messages
16,580
Points
2,000

figganigga

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2010
16,580 2,000
Hata wewe ni mdhaifu tena sana unawezaje kulala na Mwanamke uliyemwona mara moja?
nyie ndo nmalazimisha tufanye hivyo.nikisema nikuache kwenye mazingila kama hayo unaenda kunitangazia hadi kwa ndugu zangu eti haifanyi kazi.utasikia anaogopa mademu.so mtu unafanya shingo upande ili kujilindia heshima mitaani.hao walipanga ndo maana mwenzake kazuga kutoka halafu huyu aliyebaki kaanza kujiachia.usiulize alivaaje.wakubwa tushajua.mia
 
figganigga

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2010
Messages
16,580
Points
2,000

figganigga

JF-Expert Member
Joined Oct 17, 2010
16,580 2,000
Tafuteni wake muoe, usijidanganye kuwa ulikuwa na kinga, ni kinga ipi hiyo ambayo iko full proof? condom wamesha sema sio full proof.<br />
<br />
Unafanya uasharati halafu unakuja jisifu? ama kweli hili ni Taifa la dhambi.
kwa hiyo kusingekuwepo condom watu wangeacha uasherati?kuoa ni kujiongezea matatizo si unajua fujo zenu?kila siku mwanaume unaonekana mkosaji ndani ya nyumba kelele haziishi.mia
 
Rose1980

JF-Expert Member
Joined
May 10, 2010
Messages
5,697
Points
0

Rose1980

JF-Expert Member
Joined May 10, 2010
5,697 0
Nimeamini mwanamke c wa kumuamini na c wote ILA wengi wao cjui wana fikiria kitu gani,Mfano jana kuna demu ameletwa na rafiki yake ambaye ni shem wangu basi tukapiga story sana yule demu akaonyesha dalili ya kunipenda kama unavyojua wanaume nikamuonyesha NAMI nimekufa nimeonza KUMBUKA ndo tumeonana kwa mara ya kwanza basi kwakuwa rafilki yangu amesoma mchezo akabidi ajifanya anaenda kutembea na demu wake ili mm nimalize kazi.Kweli bana tukafanya mambo vibaya mno namshukuru mungu nilikuwa na kinga bila hvyo ningekuwa katika mawazo kama Anangoma kwasabbu amejiraisisha,baada ya rafiki yangu kurudi akaniambia demu wake na huyu demu niliyekula URODA ni mtu na wifi yake,Nikamuuliza ataenda kumwambia kaka yake kama demu wake nimepiga akaniambia wanafichiana SIRI c raisi.NiMEAMINI WANAWAKE NI DHAIFU SANAAAAAAA narudia tena c wote bali wengi wao

dah et wanawake wana akili ya mapenz..?
wewe mbona ujisemi?wewe una akili kweli?umeonana nae leo na kumtia leo then wamnyoshea kidole mwanamke et ana akili?
wewe mcahngo wako auuon kwenye ilo?au alikubaka?

wewe na uyo demu wote vcheche tu akuna mtu wa kumuona mwenzake hana akili la sivyo ungekaa kimya cz ata nia,lengo la kuleta apa sjapata mantiki yake....AU TUJUE JANA ULICHAPA?

wewe ungekua unajieshimu.si kicheche wa kiume usingefanya fasta ivo
yeye angekuwa anajieshimu pia asingekubali kusanuliwa kirahisi ivyo wala asingejirahisisha

so WEWE NA YEYE NDO WALE WALE
 
Forum statistics

Threads 1,358,250
Members 519,261
Posts 33,163,182
Top