Hivi wanawake Tanzania wanaongoza kuchepuka?

Hivi wanawake Tanzania wanaongoza kuchepuka?

MwanaSaikolojia

Senior Member
Joined
Jan 9, 2015
Posts
197
Reaction score
62
Habari yenu guys.

Statistics(takwimu) zinaonesha kuwa waathirika wa VVU (UKIMWI) nchini Tanzania wengi wao ni wanawake yaani tena kwa ratio kubwa. Inasemekana watu 7 kati ya 10 walioathirika na VVU Tz ni wanawake.

Swali ambalo jibu sipati: Hivi ina maana hawa dada zetu ndo wanaongoza kuchepuka.

#CONFUSED
 
google sababu za ki baiologia, why females are at greater risk to STI's than males.

Utapata majibu sahihi.
 
Mimi sisemi vibaya lakini kuna tatizo kubwa kwa dada zetu wa kibongo..asilimia kubwa hawathamini miili yao hasa maeneo ya uswahilini yaani asubuhi anaweza gogwa na juma, mchana mudi jioni kwa hamisi na hawajali kabisa wao wakidhani ni ujanja kumbe ni ujinga wa hali ya juu.
 
mimi sisemi vibaya lakini kuna tatizo kubwa kwa dada zetu wa kibongo..asilimia kubwa hawathamini miili yao hasa maeneo ya uswahilini..yaani asubuhi anaweza gogwa na juma, mchana mudi jioni kwa hamisi..na hawajali kabisa..wao wakidhani ni ujanja kumbe ni ujinga wa hali ya juu..

Vipi na wewe siafu dime unavyogonga rrose,halima,Jane kwa wakati mmojs?!
 
siafu dume

Yeah umeongea point hapo.. sasa sijui wanafanya ivo kwa ajili ya starehe au ndo maisha magumu
 
Last edited by a moderator:
Yeah umeongea point hapo.. sasa sijui wanafanya ivo kwa ajili ya starehe au ndo maisha magumu
na maisha magumu yanaweza changia kidogo..lkn na upeo pia..kutokana na jamii nzima ilivyo..kuna mambo unaweza kuyakuta uswahilini na wamama watu wazima wanayafurahia unashangaa
 
Wanagongwa na akina nani!?
ungetulia unisome vizuri ungenielewa..hapo nimesema kwa siku anaweza kugogwa na watu watatu tofauti lkn hawa watu watatu kwa siku ni huyo mtu mmoja tu..which means baadhi ya mademu wana ratio kubwa ya wanaume
 
Vipi na wewe siafu dime unavyogonga rrose,halima,Jane kwa wakati mmojs?!
Wanaume wako tofauti kidogo na hii nimeongea nashuhidia uswazi..kama hujakaa uswahilini huwezi nielewa
 
yani unadiriki kusema kabisa wanaume ni waoga??
una bahati haupo saudia, iran, somalia au sudan.
Remo eee huko hakuna kuchepuka kama ilivyo bongo!! ni nadhraa, vigumu sana kusikia uzinzi !! Labda mtego tu!!
 
Acheni zenu, kumbuka idadi ya wanawake popote pale ni kubwa kuliko wanaume. Mkitaka idadi iwe sawa na wanawake ni sawa na kusema mtaa mzima wanaume wote wawe na VVU na wanawake nusu ndo wawe na VVU
 
Wanagongwa na akina nani!?
kumbuka hapa watu3 wamemgonga mtu mmoja kama ni Ration mdada ana 1:3,wakati jamaa wana 1:1.hivyo bado mdada ana watu 3,wakati jamaa amepiga 1 katulia zake,ambae ndo mdada.
 
Wanawake wengi hugundulika kwa sababu wao wanabanwa zaidi kwenye upimaji wa VVU. Kama akiwa mjamzito ni lazima kupima, lakini mwanamume anaweza kukwepa sana kupima.

Bora ukumalize taratibu kuliko kufa kwa msongo wa mawazo...
 
Back
Top Bottom