ngongoti2000
JF-Expert Member
- Nov 20, 2017
- 2,233
- 2,159
ukiwa muwazi utasaidiwa......umeshaumia mkuu
Ni wanawake hao ndio wanaosupport hivyo
Niache kuvuta chuma Nyingine mpya namba DT niienjoy maisha
Nikae na Likitu Moyoni Mpk kufa![]()
People walk out of marriages yes, but hadi kuruhusu shahawa zifike kwenye uterus yako ziwe siku safe au za hatari ni kukosa busara kabisa!
Katoka nje kwamba jamaa mbegu zake si imara, kwamba hazirutubishi? Kwa miaka 10 zimekuwa zikifia njiani kipindi zinaelekea kwenye uchavushaji? Maana miaka 10 nayo mingi, japo kuzaa ni majaliwa.
Au mama anajua hata mtoto wa kwanza (marehemu) alikuwa si wake, hivyo amefanya hivo kumfichia jamaa yako/wew aibu?
Ushauri.
1.Kwa kuwa mimba ni ya miezi miwili aisafishe, aanze upya na mme wake! Apige tako kama alilopiga kwa mchepuko iingie.
2. Kama hawezi akaolewe na huyo mtia mimba, afu jamaa aanze upyaaaaaaaaa! Ila ajitahidi atie mimba mapema, miaka kumi ni mingi mono, akidelay stori itajirudia.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ukute ktk comments hizii jamaa aliye mtyombea mwenzie nakumjaza bidada mimba nayeye eti anachangia demu apigwe chini.
Sent using Jamii Forums mobile app

kabla hajafanya maamuzi aende hosp kwanza akacheki afya yake.. ukute hata huyo mtoto aliyefariki hakua wa kwake 
Sawa, ila sijawahi kukuona unakemea wanaume wenzako wanapohimizana kufanya ujinga
Hii ndiyo inaitwa "mwana kutafuta, mwana kulipata" , yeye alipoanza kumdodosa wife kuhusu ujauzito ina maanaJamaa before hakuamni mpka alipombana mkewe, alitoa mpka namba ya simu, mwamba akampigia simu kuthibitisha, matokeo yake ikawa kweli! Jamaa alienda mbali Zaid akamtafute mpk baba wa huyo jamaa kumwelezea kisa hicho!
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapo ndugu inategemea na level ya upendo kwa huyo mkewe baada ya tukio hiloKirahisi hivyo ulee mtoto unajua asilimia zote sio wako na mke alichepuka?? Kama aliweza kwenda kuvua pichu unadhani atakaa nalo rohoni asimwambie huyo jamaa kuhusu mtoto never atajua tu.. Apige chini hamna muda wa kupoteza.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tafuta nawe tia mimba kisha elekeza huduma zote huko kwake, kata kwa huyo mbeba mimba nje ahudumiwe na baba wa mtoto wake mtarajiwa kama atavumilia basi unaweza mletea nae mtoto wa mwanamke mwenzake amlee la asha vuta ulie mpa ujauzito.
Habari wadau?
Moj kwa moja najitakita kwenye maada husika! Kuna mshikaji wangu kanifuata kuomba ushauri, lakin cha ajabu nimeshindwa kumshauri kabisa!
Kisa chenyewe kiko hivi: Mshikaji wangu ana mke wake walioishi nae kwa miaka kumi, (walioana tangu mwaka 2010), lakin kwa muda huo walijaaliwa kupata mtoto mmoja, bahat mbaya mtoto huyo alidumu kwa siku Saba toka azaliwe, baadae alifariki dunia.
Cha ajabu ni kwamba mwanamke ameenda kudate (kuchepuka) na mwanaume mwingine na akalewa ujauzito, mshikaji amegundua na alivyombana mkewe amekiri kuwa ni kweli.
Mshikaji Bado anaishi na huyo mke lakini mpaka Sasa anazidi kubaki njia panda, anashindwa amfanye nini huyu mwanamke kwa aibu aliyomletea ndani.
Ujauzito una miezi miwili Sasa!
Wadau, nisaidieni nimshauri nini huyu jamaa?
Karibuni tafadhali!
Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe inaonekana ni mwanaharakati wa haki za wanawakeSawa, ila sijawahi kukuona unakemea wanaume wenzako wanapohimizana kufanya ujinga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuigeuze story kidogo. Mfano mke wa jamaa angekuwa hana uwezo wa kushika mimba. Halafu akaenda kuzaa na mwanamke mwingine..ungelizungumziaje hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app
LabdaSasa hii ishatokea inamana huyu mwanamke alikuwa hampendi jamaa anaishi labda sababu inayo mfanya awe nae Kama Hana pesa ipo sababu nyingine
Sent using Jamii Forums mobile app


Hivi mpenzi una akili sawa sawa?!Hebu tuigeuze story kidogo. Mfano mke wa jamaa angekuwa hana uwezo wa kushika mimba. Halafu akaenda kuzaa na mwanamke mwingine..ungelizungumziaje hilo?
Sent using Jamii Forums mobile app