Hivi wanawake mna matatizo gani?

Hivi wanawake mna matatizo gani?

MWAMBIE APIGE CHINI HUYO MBUZI HAKUNA NAMNA

YAANI MWANAMKE AKIFIKIA HATUA YA KUPANUA MAPAJA KWA JAMAA NJE, UJUWE AMEKUDHARAU SANA NA HAJAUANZA SIKU HIYO HUO MCHEZO

INASIKITISHA SANA MKUU KUNA MALAYA WA AINA TAFAUTI SIKU HIZI MWAMBIE AWE MAKINI

UYO MWANAMKE THAMANI YAKE SIO KUOLEWA, SIO KILA MWANAMKE THAMANI YAKE NI KUOLEWA.. HUYO THAMANI YAKE NI IYO KUJIPIGIA UKASEPA (tumefikia mahali pabaya sana)

MWAMBIE APIGECHINI HAKUNA NAMNA PIGA CHINI

WAPO WENGI HAO..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabisa bro, UMENENA VYEMA YAAN HUYU MBUYU TWITE ANAGEGEDWA MPK MIMBA? NA ALICHOKUWA AMEPANGA NI KUMBAMBIKIA JAMAA, SEMA AKAUSHTUKIA MCHEZO!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kitanda hakizai haramu, Yaliyotokea yametokea msamehe maisha yaendelee
 
Habari wadau?

Moj kwa moja najitakita kwenye maada husika! Kuna mshikaji wangu kanifuata kuomba ushauri, lakin cha ajabu nimeshindwa kumshauri kabisa!

Kisa chenyewe kiko hivi: Mshikaji wangu ana mke wake walioishi nae kwa miaka kumi, (walioana tangu mwaka 2010), lakin kwa muda huo walijaaliwa kupata mtoto mmoja, bahat mbaya mtoto huyo alidumu kwa siku Saba toka azaliwe, baadae alifariki dunia.

Cha ajabu ni kwamba mwanamke ameenda kudate (kuchepuka) na mwanaume mwingine na akalewa ujauzito, mshikaji amegundua na alivyombana mkewe amekiri kuwa ni kweli.

Mshikaji Bado anaishi na huyo mke lakini mpaka Sasa anazidi kubaki njia panda, anashindwa amfanye nini huyu mwanamke kwa aibu aliyomletea ndani.

Ujauzito una miezi miwili Sasa!

Wadau, nisaidieni nimshauri nini huyu jamaa?

Karibuni tafadhali!

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe unahusikaje na mimba ya shem wako ?
 
Mkuu pole sana, kama unampenda bado mke funika kombe mwanakharamu apite, ila piga marufuku ukaribu wa hao watu wawili na mwambie mkeo asimwambie huyo jamaa kuhusu ujauzito wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Kirahisi hivyo ulee mtoto unajua asilimia zote sio wako na mke alichepuka?? Kama aliweza kwenda kuvua pichu unadhani atakaa nalo rohoni asimwambie huyo jamaa kuhusu mtoto never atajua tu.. Apige chini hamna muda wa kupoteza.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona ninyi ndio mnazaa nje kuliko sisi umewahi kujiuliza mna matatizo gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu tuigeuze story kidogo. Mfano mke wa jamaa angekuwa hana uwezo wa kushika mimba. Halafu akaenda kuzaa na mwanamke mwingine..ungelizungumziaje hilo?

Sent using Jamii Forums mobile app
Watu sijui mnaongea Upupu gani

Kwaiy Nyie Mnaona ni Sawa Yeye kwend kubeba Mimba Nje
Mbaya zaidi
Yeye hajamzalia Mtoto miaka kumi ya Ndoa Mtoto Amefariki janamke linaenda kubeba Mimba Nje

Kufa kwa mtoto baada ya kuzaliwa ni kawaida Sanaaaaa
Mtoa Mada hajaingizia kesi ya mume kutokua na uwezo

PIGA CHINIIIII
SASA HAPO WAKAE CHINI WAONGEE NINI ??
 
Kitanda hakizai haramu, hebu atulie huko walee mtoto wao.
 
Watu sijui mnaongea Upupu gani

Kwaiy Nyie Mnaona ni Sawa Yeye kwend kubeba Mimba Nje
Mbaya zaidi
Yeye hajamzalia Mtoto miaka kumi ya Ndoa Mtoto Amefariki janamke linaenda kubeba Mimba Nje

Kufa kwa mtoto baada ya kuzaliwa ni kawaida Sanaaaaa
Mtoa Mada hajaingizia kesi ya mume kutokua na uwezo

PIGA CHINIIIII
SASA HAPO WAKAE CHINI WAONGEE NINI ??
Apigwe chini au asipigwe chini. NI SAWA.

Over!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom