Hivi wanawake mna matatizo gani?

Hivi wanawake mna matatizo gani?

cha1509

JF-Expert Member
Joined
Jul 6, 2018
Posts
258
Reaction score
403
Habari wadau?

Moj kwa moja najitakita kwenye maada husika! Kuna mshikaji wangu kanifuata kuomba ushauri, lakin cha ajabu nimeshindwa kumshauri kabisa!

Kisa chenyewe kiko hivi: Mshikaji wangu ana mke wake walioishi nae kwa miaka kumi, (walioana tangu mwaka 2010), lakin kwa muda huo walijaaliwa kupata mtoto mmoja, bahat mbaya mtoto huyo alidumu kwa siku Saba toka azaliwe, baadae alifariki dunia.

Cha ajabu ni kwamba mwanamke ameenda kudate (kuchepuka) na mwanaume mwingine na akalewa ujauzito, mshikaji amegundua na alivyombana mkewe amekiri kuwa ni kweli.

Mshikaji Bado anaishi na huyo mke lakini mpaka Sasa anazidi kubaki njia panda, anashindwa amfanye nini huyu mwanamke kwa aibu aliyomletea ndani.

Ujauzito una miezi miwili Sasa!

Wadau, nisaidieni nimshauri nini huyu jamaa?

Karibuni tafadhali!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu pole sana, kama unampenda bado mke funika kombe mwanakharamu apite, ila piga marufuku ukaribu wa hao watu wawili na mwambie mkeo asimwambie huyo jamaa kuhusu ujauzito wake

Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa before hakuamni mpka alipombana mkewe, alitoa mpka namba ya simu, mwamba akampigia simu kuthibitisha, matokeo yake ikawa kweli! Jamaa alienda mbali Zaid akamtafute mpk baba wa huyo jamaa kumwelezea kisa hicho!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamaa before hakuamni mpka alipombana mkewe, alitoa mpka namba ya simu, mwamba akampigia simu kuthibitisha, matokeo yake ikawa kweli! Jamaa alienda mbali Zaid akamtafute mpk baba wa huyo jamaa kumwelezea kisa hicho!

Sent using Jamii Forums mobile app
Ina maana huyo mkeo alimjulisha mwamba kuwa ana ujauzito wake?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom