Hivi wanawake mkoje?

Acha ushamba mtoto wa kiume hiyo code hataki mambo mengi sema una sh ngapi mkamalizane
 
Acha ushamba mtoto wa kiume hiyo code hataki mambo mengi sema una sh ngapi mkamalizane
 
Nahisi naliwa timing mzee , unatoa hela
Then inakua mtindo wakd kila siku na kumpata simpati
Kumpata unampata vizuri tu halafu ni mbinu ndogo sana
Mpe hiyo 5k.
Halafu kausha kabisa usimtafute tena baada ya siku tatu ikiwa hapo kati kati hatokuwa amekutafuta yeye.
Kumbuka usimtumie text mpigie simu moja kwa moja.
 
Mkuu ndio nampa nakula block
Au inakuwa kamtindo kake kakuomba kila day, najua itakuwa mwendelezo.😂
 
Wewe ndo unacomplicate mambo au unaleta mambo ya hisia.Kuwa simple : Kama unayo mpe, kama huna mwambie sina.
Kuombwa hela kawaida, hadi wanaume wengi wanatamani kuomba sema aibu tu....mpe kama unayo kama huna sema sina..
 
Ila wanaume wengine
 
Attachments

  • IMG-20250829-WA0015.jpg
    130.9 KB · Views: 11
Achana nae, tafuta ambae yeye ndio atakupa hela.
 
Mtu unamwambia nitakuja next week mkoani tuonane tupange, siku hiyohiyo anakuambia halafu kuna biashara yake anafanya ila amestop kidogo
Sababu??? mtaji umeyumba......kesho yake asbh anakuuliza umekunywa chai unamwambia ndio...
Ukikosea kumuuliza nawewe? Anakuambia hajanywa hata
sababu??? Gesi imeisha🤣🤣🤣🤣🤣
Anakuwa amepata mfadhili na sio Mpenzi🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…