Hivi wanawake mkoje?

Mkuu acha kulalamika sana mwambie aje kuchukua ghetto/lodge.

ni biashara mkuu na inabidi ununue.
 
Mkuu 5k kweli unaianzishia Uzi?
Shida haipo kwenye huyo mwanamke aliekuomba 5k, shida ipo kwako kuchukia Kuombwa hiyo Hela, ukumbuke saiv Wana mbinu kama hakutaki na anataka ukae nae mbali, anaanza vibomu,
Kingine jitahidi uwe unadate na mwanamke ambaye ata ukimwambia babe niazime 50k kesho ntakurudishia anakupa, ss unakuta mwanaume upo mabovu,unatafuta mwanamke nae choka mbaya nn unategemea?
 
Na iyo buku 5 haujaombwa peke ako. Unakuta mmeombwa watu 15. Akitumiwa na watu 10 baadae anaenda zake kitambaa cheupe anatulia mezani na bucket ya savana kwa hela zenu ili wadau wakijileta wajue yeye ni expensive wapande dau kubwa
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Wanaboa sana mkuu yaani wengi wamejaa tamaa na maisha ya anasa ni shida sana Kuna mmoja nilimtongoza tu akaanza mara nitumie pesa mara umeniandalia sh ngap yaani mkuu ni shida sikumtafuta tena hamu na yeye ilikata
Ahahahaha.
Sio kila kuombwa pesa basi ni pesa inatafutwa, hapana, kuna muda mwingine ni kuwa hakuweza kukukataa instantly, so hii ni njia moja wapo ya kukupiga matukio ili ujikatae mwenyewe.

NB
Japo ukituma usifikiri kama atakurudishia!! Hapana, hiyo imeenda πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Fear women πŸ˜„πŸ˜„
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…