Godoro la kioo
JF-Expert Member
- Aug 2, 2025
- 436
- 934
Hiyo elfu tano kumpa Wala hata sio shidaMkuu 5k kweli unaianzishia Uzi?
Shida haipo kwenye huyo mwanamke aliekuomba 5k, shida ipo kwako kuchukia Kuombwa hiyo Hela, ukumbuke saiv Wana mbinu kama hakutaki na anataka ukae nae mbali, anaanza vibomu,
Kingine jitahidi uwe unadate na mwanamke ambaye ata ukimwambia babe niazime 50k kesho ntakurudishia anakupa, ss unakuta mwanaume upo mabovu,unatafuta mwanamke nae choka mbaya nn unategemea?
Tuko hapa tunasubiria malalamikoHuyu cocastic akiniomba sitakimbia namkubali sana though sijui ni Me au Ke ila napenda misimamo yake
Hapana ndugu yangu hiyo ela ni ndefu sana na hii khari yangu ya maisha naijua mwenyewe 😂😂😂😂ungempa tu mkuu siunataka utelezi
Ushasema kabla, sasa si ndio nishakutana nae!!Kwani kabla humjakutana ulikuwa unaishije
Mmomonyoko wa maadili kuombwa pesa!! Ila nyie mkiomba ndio maadili😳😳😳Hapana kulala Mika kuombwa sio umaskini ni kero na kushangaa namna ambavyo mmong'onyoko wa maadili unavyozidi kushika kasi
🤣🤣🤣🤣🤣 key board warriorsShida yako unaendeshwa na wanawake GENTLEMAN unamwambiaje akimaliza kazi zake akucheki...uko sawa bru?
Amna mzee wangu. Timing tuKarudi, au umejirudisha kwake we jamaa ni simp pro max 😄 Scott junior
umeongea ukweli mkuuKuna kitu hujakielewa ishu sio kumpa hela shida inakuja unampa hela Kama Nani kumbuka muda huo hata kumtongoza bado
Hii ndio point yangu mkuuNa hiyo ndo mentality inayowasumbua wanawake karibia wote kwa kudhani kila mwanaume anataka kula na kwenda
Kuna mwingine anakuwa anahitaji mke wa kuoa
Hongera mkuuNilitengeneza dunia yangu ya furaha na amani baada ya kutambua naweza kuishi bila kufanya mapenzi na naweza kuishi bila mpenzi
Mule mule🤣🤣🤣🤣🤣 key board warriors
Sawa🤣🤣🤣🤣🤣 key board warriors
Kwenye mahusiano mnagawana majukumu?Ni muhimu kugawana majukumu kwenye mahusiano, mfano; wewe utalipia kodi, yeye atalipia chakula n.k
Ndivyo inavyotakiwaKwenye mahusiano mnagawana majukumu?
Hata kuombwaombwa uchi ni kero piaHapana kulala Mika kuombwa sio umaskini ni kero na kushangaa namna ambavyo mmong'onyoko wa maadili unavyozidi kushika kasi
We unavoomba namba plus uchi unaomba kama naniKuna kitu hujakielewa ishu sio kumpa hela shida inakuja unampa hela Kama Nani kumbuka muda huo hata kumtongoza bado