Hivi wanawake mkoje?

Hivi wanawake mkoje?

Scott junior

JF-Expert Member
Joined
Mar 24, 2022
Posts
2,412
Reaction score
3,198
We mtu hatujafahamiana vyema
Siku moja tu ndani ya masaa 5 unaomba Hela, buku tano ?

Sio kwamba hatuna pesa, ila hizi tabia dadeq , tunawaona matapeli nyinyi.

Basi angalau vuta time kidogo wengine tuna goals juu yenu ila mnakuwa wehu
Ni umasikini au?

IMG_4334.jpeg
 
View attachment 3457889
Hujui mapenzi kwa wanawake ni investment au kitega uchumi?
 
Wanaboa sana mkuu yaani wengi wamejaa tamaa na maisha ya anasa ni shida sana Kuna mmoja nilimtongoza tu akaanza mara nitumie pesa mara umeniandalia sh ngap yaani mkuu ni shida sikumtafuta tena hamu na yeye ilikata
Wanawake wanakata sana stimu ,yaani unaweza kuwa una mipango naye mirefu ila anaongeza matatizo yake bila ya kujali ; mwanamke anaweza kukuchek ukamwambia naumwa vibaya ila yye atazunga mwisho wa siku atakuomba hela hata uwe mahututi😂😂.

Mwanamke hata ukiwa na mazoea naye basi kwisha habari yako ,mara una elfu 2 hapo ..Kiufupi hao ni hatari sana labda uchukue wa vijijini ataomba hela ndogo ila huku mjini ni hatari sana ...Wahuni wakishaona basi wanagharamia wakishakula kibati.

Sehemu za kazi achana na mazoea na wanawake ,wanapenda vya dezo .kumjaribu mtu wanataka kununuliwa lunch ,ukikaza unaitwa bakhli au mchoyo ila unakuta hapo huyo demu ana mshahara kama wewe ,vile vile ana boyfriend wake ila tamaa tu.
 
Mipango ipi zaidi ya kumtomba tu mpunguze uongo
 
Back
Top Bottom