Miss Natafuta
JF-Expert Member
- Sep 16, 2015
- 28,122
- 52,886
mbona wewe ulienda kukata majani na vogue? hata wewe huna nyodo kabisa .so huyondo life mate wako fanya mambo
Weweee pambana kukata majani Uko goba chamsingi akupe mkwanja wako mliokubalianaJuzi nilipata kibarua cha kukata majani huko Goba. Nilipewa pande hili na jamaa yangu mmoja hivi. Kwahio nilikuwa naenda kwenye kibarua huku boss simjui. Kufika eneo la kazi mjengo nilioukuta si mchezo, hapo kwenye garden pembeni zimepaki ndinga tatu kwa uzoefu wangu ya bei ya chini ni 28m hivi!
Baada ya kufika hapo nikaambiwa nimsubiri boss, akatokea dada mmoja mzuri sana nikaambiwa ndio boss mwenyewe niongee nae. Basi nikaongea na yule dada tukakubaliana ujira wangu nikaendelea na kazi huku najiuliza huyu binti mdogo hivi silaha hizi anazomiliki kwa zama hizi kazipata wapi?
Kama kawaida yangu nikikutana na mtu yuko vizuri huwa sijivungi nauliza siri ya mafanikio, dada huyu pamoja na mafanikio yake hana nyodo kabisa, tuliongea mengi na mwisho nikajua ni boss fulani katika moja ya kampuni kubwa Tanzania. Je nyinyi mnaotuponda humu sisi masikini tusio na magari wala nyumba ndio mko level za huyu dada nini? Je wanawake kama huyu dada(young, successful and humble) mpo humu?
ule mzuzu hujanieleza vizuri bnahahahah, namchokoza mtani wangu Miss Natafuta atoke huko kwenye dressing table aje hapa fasta. hahahhaha
Kheeeeeee[emoji7][emoji8]
Sio wivu Ely jaman nashangaa tu dada angu anavyotoa makopa kopa kwakoSidhani kama ni wivu manake najua hatupendani mi na wewe[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]
Kwa kuandika tu, hujambo!Juzi nilipata kibarua cha kukata majani huko Goba. Nilipewa pande hili na jamaa yangu mmoja hivi. Kwahio nilikuwa naenda kwenye kibarua huku boss simjui. Kufika eneo la kazi mjengo nilioukuta si mchezo, hapo kwenye garden pembeni zimepaki ndinga tatu kwa uzoefu wangu ya bei ya chini ni 28m hivi!
Baada ya kufika hapo nikaambiwa nimsubiri boss, akatokea dada mmoja mzuri sana nikaambiwa ndio boss mwenyewe niongee nae. Basi nikaongea na yule dada tukakubaliana ujira wangu nikaendelea na kazi huku najiuliza huyu binti mdogo hivi silaha hizi anazomiliki kwa zama hizi kazipata wapi?
Kama kawaida yangu nikikutana na mtu yuko vizuri huwa sijivungi nauliza siri ya mafanikio, dada huyu pamoja na mafanikio yake hana nyodo kabisa, tuliongea mengi na mwisho nikajua ni boss fulani katika moja ya kampuni kubwa Tanzania. Je nyinyi mnaotuponda humu sisi masikini tusio na magari wala nyumba ndio mko level za huyu dada nini? Je wanawake kama huyu dada(young, successful and humble) mpo humu?
Teh teh, bado mi mpenzi mtazamaji. Analo jopo lake, simuwezi huyu kiumbe...Anaruhusiwa mnoooo hivi na wewe ni shemeji yangu nikuingize kwa list
Hahahahh ulifikili wengi basi ukiingia na wewe unakuwa mchepuko wa 3Teh teh, bado mi mpenzi mtazamaji. Analo jopo lake, simuwezi huyu kiumbe...
Hahaha sitaweza, ni heri nikala kwa macho kuliko kuiumiza nafsi yangu.Hahahahh ulifikili wengi basi ukiingia na wewe unakuwa mchepuko wa 3
Hahahaa acha uwogaHahaha sitaweza, ni heri nikala kwa macho kuliko kuiumiza nafsi yangu.
Ni mrembo eh?Yupo humu anajiita husna the bossylady
Wapo..ila hiyo habari ya wewe kwenda kukata majani ni chai yenye pilipili.Haya majibu yananiambia HAKUNA
Huo mguno veepe!!
[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8][emoji7][emoji8]
Unataka kumfataNi mrembo eh?
Aibu naona mm jamani[emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Makopa kopa tuHuo mguno veepe!!
Muhenga mwenzanguSio wivu Ely jaman nashangaa tu dada angu anavyotoa makopa kopa kwako