Sana ILA Ana kichogo,muda wote anavaa Peruvian hairHivi ni mrembo sana
Jolie Jolie huyu huyu!!!!!!aliniita kwake nkafanye installation ya security cameras,,.mzuri Sana na hana maringo,,.niliingia hadi bed room kwake..ni true story..nshapiga nae selfie..yuko vizuri..
Hebu tupiamo kapicha kake hapa tuoneSana ILA Ana kichogo,muda wote anavaa Peruvian hair
Kama ni Neema yumo humu pia.Juzi nilipata kibarua cha kukata majani huko Goba. Nilipewa pande hili na jamaa yangu mmoja hivi. Kwahio nilikuwa naenda kwenye kibarua huku boss simjui. Kufika eneo la kazi mjengo nilioukuta si mchezo, hapo kwenye garden pembeni zimepaki ndinga tatu kwa uzoefu wangu ya bei ya chini ni 28m hivi!
Baada ya kufika hapo nikaambiwa nimsubiri boss, akatokea dada mmoja mzuri sana nikaambiwa ndio boss mwenyewe niongee nae. Basi nikaongea na yule dada tukakubaliana ujira wangu nikaendelea na kazi huku najiuliza huyu binti mdogo hivi silaha hizi anazomiliki kwa zama hizi kazipata wapi?
Kama kawaida yangu nikikutana na mtu yuko vizuri huwa sijivungi nauliza siri ya mafanikio, dada huyu pamoja na mafanikio yake hana nyodo kabisa, tuliongea mengi na mwisho nikajua ni boss fulani katika moja ya kampuni kubwa Tanzania. Je nyinyi mnaotuponda humu sisi masikini tusio na magari wala nyumba ndio mko level za huyu dada nini? Je wanawake kama huyu dada(young, successful and humble) mpo humu?
haha yeah..kama atakua radhi nimwage mambo yake hadharani,,its okay..ngoja nimuombeJolie Jolie huyu huyu!!!!!!
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe humjui Miss Natafuta? ndio huyo ulikuwa kwake.hahhahahaha
Mmmh.hii chai na hili joto...
Ukute yumo muulize anatumia jina gani humu
Sisi wengine maskini
Itakuwa wapo..em tuwasubiri waje
Haya majibu yananiambia HAKUNAWapo mkuu hujabahatika kukutana nao ipo siku utaitwa sehemu nyingine kunyeshea maua utaongeza kwenye list
HUENDA HUYO BOSS AKAWA EXPERT MEMBER HUM
JF hawaruhusu..ntapigwa lifetime banHebu tupiamo kapicha kake hapa tuone
[emoji23] hahaaha ngoja ajehahahah, namchokoza mtani wangu Miss Natafuta atoke huko kwenye dressing table aje hapa fasta. hahahhaha
Naona umedhamiria kuntukana[emoji23]Namjua..jolie Jolie
Nimekujahujamtagi vizuri ngoja nikusaidie kumuita Jolie Jolie
Haha kwa kweli mi ni[emoji125] [emoji125] [emoji125]aliniita kwake nkafanye installation ya security cameras,,.mzuri Sana na hana maringo,,.niliingia hadi bed room kwake..ni true story..nshapiga nae selfie..yuko vizuri..
Na hiki kipilipili wala sithubutu kionekaneSana ILA Ana kichogo,muda wote anavaa Peruvian hair
Wangekua wanaruhusu najua ungechagua ile nzuri nzuri unisitir mimJF hawaruhusu..ntapigwa lifetime ban
sorry boss wasituchonganishe...nlitakA Tu mtoa maada ajue Kwamba upo..Haha kwa kweli mi ni[emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ashindwe kabisa shetani,tusije gombana buresorry boss wasituchonganishe...nlitakA Tu mtoa maada ajue Kwamba upo..
hah ningeku blackmail like " Kuna kitu usiponipa,natuma pics zako zile tumepiga bila makeup JF"..Wangekua wanaruhusu najua ungechagua ile nzuri nzuri unisitir mim