Hivi wanawake hamna stail nyingine ya kucheza mziki bila kutikisa makalio yenu na kuinama inama ?

Hance Mtanashati

JF-Expert Member
Sep 7, 2016
19,470
25,395
Hivi nyie wanawake kwa nini mkiwa mnacheza mziki lazima muyatikise makalio yenu na kuinama inama hovyo?

Mnafanya hivyo ili iweje sasa?

Ina maana stail zote hamjaziona isipokuwa hiyo tu?

Tena mbaya zaidi utakuta mkiwa mnatikisa hayo makalio mnakuja kushikwa shikwa na watoto wadogo sana na watoto zenu au wadogo zenu

Badilikeni bhana ,kuweni na staha kwa wale ambao ndio tabia yenu hiyo.
 
Haf we jamaa acha mambo ya kizee zee ..sasa unataka watikise masikio au vidole gumba??..
 
aliyekutuma uangalie ni nani ??
binafsi nikiona vile nafsi yangu tafrani hata kama nina safari nitaghairisha
 
  • Thanks
Reactions: CTX
aliyekutuma uangalie ni nani ??
binafsi nikiona vile nafsi yangu tafrani hata kama nina safari nitaghairisha
Vuta picha una muona mama yako anakatika katika mbele za watu halafu kana bambiwa na katoto kadogo utajiskiaje?
 
heeeh HR si ulikuwa mgonjwa wewe au dua za wana jf zimekusaidia

au bado uko hosptl umepata nafuu ukakumbuka mambo hayo
 
Mkuu Jana ulikuwa mahututi, na ulishaanza kukata kauli na macho kufifia fifia, mida hii umeibukia kwenye mitikisiko ya pwani na kanga moko!!!? Umetumia dawa gani?
 
sasa mbona mama yako na dada zako na shangaz zako uko nao kwanini usianzie huko kama primary data.
 
Kamatia chini kamatia chini
Go low go low go low
Go down Hata mara moja jiweke down....

Kwa hizi nyimbo naachaje kubambia hapo nyuma kwa Frog??

Na mi nasema..ladies endeleeni kutikisa msambwanda na kukata nyonga...hivyo ndio napendaga
 
Mimi nikiona hivyo kwatu na kama nilikuwa na safari naairisha.

Hasa akiwa kavaa dela shekh.
 
Back
Top Bottom