For once I agree with you.Wanaume hujawajua tuuuuu! UKIMCHEAT MCHEAT NA MTU W MAANA ZAIDI YAKE MARA 100,000, watu wenye P.O.Box zao mjini hapa, watu wenye TIN number zao wnatambulika na TRA, akikufuma anakuwa mdogo kama piriton hata nguvu ya kurap na kurealease single double double anakuwa hanaaaaaaaaa! Manaeno yanamkaukaaaa kau ka jangwa la sahara. Anahisi UMASIKINI wake ndo umemponza amegewe kumbe mwanamke mwenyewe tu genye mshindo ndo zimeleta madhara! Anaondoka mikono nyuma korodani zote zimejaa upepo! (ITS NOT A VERY PRETTY SITE!)
Sasa ukitaka kujua chizi akirogwa tena anakuwaje mcheat na Free Pumbu!!!!!!!!!! Weeeeeeeeeee! Wewe na free pumbu wako hamna rangi mtaacha ona siku hio. Na akizingatia free p kamzidi vipi kete ndo hsira zinamiminika! Ata rap, bongofleva, hiphop, mpaka marimba kwa wakati mmoja! Atawapeni kichapo ch mbwa mwizi. Utajutaaa kumfahamu siku hio. Free p ndo namuone mpaka imani kitachomkuta!
NDO TUISHIVO MJINI HUMU!
Minasoma hata sielewi, sijui umri umekwenda!!?
Ngoja niwapishe vijana wezio waje, maana nahisi washajaa upepo na wanakaribia kupasuka
umeona eee jack...?[
Wanakera sana my..Yaan kunya anye kuku..
KUNYA ULALE!!!!!!!!!! Naandika NACHOJISIKIA!!!!!!!!! Huna hadhi ya kunipangia cha kuandikaaaa! MATUSI UNAYAJUA WEWE? Kaa mbali na mimimdogo wangu! Sio SIZE YAKO! Chakufanya mpangie mkeo unayemlisha na kumpa pa kujisaidia bureee! Me ulienikuta mjini kwa hesabu zangu, hujui nakula wapi au nakunya wapi HUNIAMBII KITU MAISHA YAKO!
ndo huo ubabe wala si wivu huo, lazima ufikiri maumivu hayohayo kwa mwenzio!
Hahahaha, huyo ndo Lara 1 kubwa la maadui, always bold and valiant
Lol! Only you would break it down like this!!Wanaume hujawajua tuuuuu! UKIMCHEAT MCHEAT NA MTU W MAANA ZAIDI YAKE MARA 100,000, watu wenye P.O.Box zao mjini hapa, watu wenye TIN number zao wnatambulika na TRA, akikufuma anakuwa mdogo kama piriton hata nguvu ya kurap na kurealease single double double anakuwa hanaaaaaaaaa! Manaeno yanamkaukaaaa kau ka jangwa la sahara. Anahisi UMASIKINI wake ndo umemponza amegewe kumbe mwanamke mwenyewe tu genye mshindo ndo zimeleta madhara! Anaondoka mikono nyuma korodani zote zimejaa upepo! (ITS NOT A VERY PRETTY SITE!)
Sasa ukitaka kujua chizi akirogwa tena anakuwaje mcheat na Free Pumbu!!!!!!!!!! Weeeeeeeeeee! Wewe na free pumbu wako hamna rangi mtaacha ona siku hio. Na akizingatia free p kamzidi vipi kete ndo hsira zinamiminika! Ata rap, bongofleva, hiphop, mpaka marimba kwa wakati mmoja! Atawapeni kichapo ch mbwa mwizi. Utajutaaa kumfahamu siku hio. Free p ndo namuone mpaka imani kitachomkuta!
NDO TUISHIVO MJINI HUMU!
Walahi umeleta balaa;-)! Nitarudi baadae kuona yaliojirimmmmmmmmmm.., uzi wangu,,, mwe!!!!! hadi watu wamesepa! loh!
hao kivyao vyao bana, hapa tunaangalia kundi lilo kubwa.