Aliyekuambia wao ni kundi dogo ni nani? hata ukristo baadaye utaruhusu tu mwanaume aowe zaidi ya mmoja maana haiwezekani we angalia mwenyewe kila watoto 10 wanaozaliwa wakiume ni 3 tu. Ndiyo hivyo utabisha lakini ukweli ndiyo huo.
mmmmmmmmmm.., uzi wangu,,, mwe!!!!! hadi watu wamesepa! loh!
Aliyekuambia wao ni kundi dogo ni nani? hata ukristo baadaye utaruhusu tu mwanaume aowe zaidi ya mmoja maana haiwezekani we angalia mwenyewe kila watoto 10 wanaozaliwa wakiume ni 3 tu. Ndiyo hivyo utabisha lakini ukweli ndiyo huo.
Mwanaume akosei, na akikosea ni kosa la mwanamke
Mwanaume akosei, na akikosea ni kosa la mwanamke
Unajua bhana hauwezi kusema wanaume hawana wivu! Kwani hatuna moyo? Au hatujui kupenda?
Nikubali tu kama na ubabe tunao! Na huo hutokea in nature! Hauwezi kumkuta ke wako analiwa, afu eti ukaanza kulia kama wafanyavyo pindi wakifumania! Kichapo kinanafasi yake!
...
Na vile vile utambue me na ke wote ni binadamu but hawakosawa!
Me ni me na ke ni ke!
Ktk kila tukio save kufumaniana, litakavyopokewa na ke ni tofauti na litakavyopokewa na me!
Nadhani umenisouma hapa!
Wanaume hujawajua tuuuuu! UKIMCHEAT MCHEAT NA MTU W MAANA ZAIDI YAKE MARA 100,000, watu wenye P.O.Box zao mjini hapa, watu wenye TIN number zao wnatambulika na TRA, akikufuma anakuwa mdogo kama piriton hata nguvu ya kurap na kurealease single double double anakuwa hanaaaaaaaaa! Manaeno yanamkaukaaaa kau ka jangwa la sahara. Anahisi UMASIKINI wake ndo umemponza amegewe kumbe mwanamke mwenyewe tu genye mshindo ndo zimeleta madhara! Anaondoka mikono nyuma korodani zote zimejaa upepo! (ITS NOT A VERY PRETTY SITE!)
Sasa ukitaka kujua chizi akirogwa tena anakuwaje mcheat na Free Pumbu!!!!!!!!!! Weeeeeeeeeee! Wewe na free pumbu wako hamna rangi mtaacha ona siku hio. Na akizingatia free p kamzidi vipi kete ndo hsira zinamiminika! Ata rap, bongofleva, hiphop, mpaka marimba kwa wakati mmoja! Atawapeni kichapo ch mbwa mwizi. Utajutaaa kumfahamu siku hio. Free p ndo namuone mpaka imani kitachomkuta!
NDO TUISHIVO MJINI HUMU!
hil swala/jambo lina athar kwa wote,[me & ke].lakn dawa ya moto n moto yaan NGOMA DROO. 2seme mmoja akmwaga mboga mwingne anamwaga ugali. Lakn kwa nn wa2 2fikie huko? heb tuyazingatie haya: 1.heshm mapenz/ndoa yako 2.tenda ka upndavo utendewe...
Wanaume hujawajua tuuuuu!
UKIMCHEAT MCHEAT NA MTU W MAANA ZAIDI YAKE MARA 100,000, watu wenye
P.O.Box zao mjini hapa, watu wenye TIN number zao wnatambulika na TRA,
akikufuma anakuwa mdogo kama piriton hata nguvu ya kurap na kurealease
single double double anakuwa hanaaaaaaaaa! Manaeno yanamkaukaaaa kau ka
jangwa la sahara. Anahisi UMASIKINI wake ndo umemponza amegewe kumbe
mwanamke mwenyewe tu genye mshindo ndo zimeleta madhara! Anaondoka
mikono nyuma korodani zote zimejaa upepo! (ITS NOT A VERY PRETTY SITE!)
Sasa ukitaka kujua chizi akirogwa tena anakuwaje mcheat na Free
Pumbu!!!!!!!!!! Weeeeeeeeeee! Wewe na free pumbu wako hamna rangi
mtaacha ona siku hio. Na akizingatia free p kamzidi vipi kete ndo hsira
zinamiminika! Ata rap, bongofleva, hiphop, mpaka marimba kwa wakati
mmoja! Atawapeni kichapo ch mbwa mwizi. Utajutaaa kumfahamu siku hio.
Free p ndo namuone mpaka imani kitachomkuta!
NDO TUISHIVO MJINI HUMU!
mwanaume akosei, na akikosea ni kosa la mwanamke
"Just Because I'm A Woman"
I can see you're disappointed
By the way you look at me
And I'm sorry that I'm not
The woman you thought I'd be
Yes, I've made my mistakes
But listen and understand
My mistakes are no worse than
yours
Just because I'm a woman
So when you look at me
Don't feel sorry for yourself
Just think of all the shame
You might have brought somebody
else
Just let me tell you this
Then we'll both know where we
stand
My mistakes are no worse than
yours
Just because I'm a woman
Now a man will take a good girl
And he'll ruin her reputation
But when he wants to marry
Well, that's a different situation
He'll just walk off and leave her
To do the best she can
While he looks for an angel
To wear his wedding band
Now I know that I'm no angel
If that's what you thought you'd
found
I was just the victum of
A man that let me down
Yes, I've made my mistakes
But listen and understand
My mistakes are no worse than
yours
Just because I'm a woman
No, my mistakes are no worse than
yours
Just because I'm a woman
by Dolly parton ni special kusapot hii thread