Arabian queen
JF-Expert Member
- Nov 23, 2016
- 2,557
- 4,825
Umependa weupe wake au[emoji1][emoji28][emoji23]
naishi mjini sijawahi sikia izo sehemuHama huko kijijini koromije uje mjini utazijua sehemu hizo nilizotaja
wanapatikana wengi sana mpaka utasaza mwenyewe.
Mm kama huyu simuwezi manake nna kijivujivu balaa.....namsamehe tuuSiku nikimpata mwanaume kama huyu wallai simwachi ng'odo nitampa kila kitu atakacho haijalishi nimeolewa au sijaolewa hivi wanaume kama huyu wapatikana wapi ajuae aniambie niwafuate ukoo waliko wakaka kama huyu jamani.
View attachment 509649
nimempenda mzuriii weupe wako wengiiiUmependa weupe wake au[emoji1][emoji28][emoji23]
Mbona yuko kawaida tu ,labda umependea rangi haponimempenda mzuriii weupe wako wengiii
Angalizo:Form Six wamemaliza mitihani yao mada zisizo na kichwa wala miguu zitajaa humuHivi kidato cha 6 wamemaliza lini mitihani maana mawingu yao tunaanza kuyaona mvua zao sijui zitakuwaje humu JF
Utoto akikuwa atagundua alikuwa na mawazo mgando. Anaweza akampata hata huyo bado asitosheke.Tabia za mke wa farao hadi huku zipo? Yaani uolewe alafu utamani ma handsome kama kina Yusufu... Aisee sijui wanawake wanatakaga nini
Nahicho ndo nimekiona hapo chatofauti yaani nadra ila kama ni mengine mimi sjaonamanyoya hata kuku na mbwa wanayo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] na hata wakati anaondoka na watu wake wanawake atawaacha maana watakuwa hawajui la kufanya.Wanawake hadi wajitambue nadhani Yesu atakuwa kasharudi kulinyakua Kanisa. Mara waweke maua sebureni mara wajaze udongo kwenye kopo alafu wachomeke maua yaani shida sana hawa viumbe
Kweli mkuu ni shida mtu kaokota picha huko anatafuta hapa si atafute huko picha ilupokuwa
Tamaa ya fisi..! Shida km ni sura chukua mwanamke mwenzako aliye mzuri zaidi ya huyu..!Siku nikimpata mwanaume kama huyu wallai simwachi ng'odo nitampa kila kitu atakacho haijalishi nimeolewa au sijaolewa hivi wanaume kama huyu wapatikana wapi ajuae aniambie niwafuate ukoo waliko wakaka kama huyu jamani.
View attachment 509649
Hahhaaha....tuwapokee tu. Kuna cha kujifunza .. Si wajua vijana hawa wana mapya...Hivi kidato cha 6 wamemaliza lini mitihani maana mawingu yao tunaanza kuyaona mvua zao sijui zitakuwaje humu JF
gamboshi wapi?