Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,302
- 9,812
Mwanangu demu kafika Hadi ndani ya chumba Eti oooh ukunambia unanichukuliaje? Dah love is not for everyone nimeaminishukuru na furahia umenusurika na Gono mzee
Mzee hyo Tu 30'000 mzee usawa huuUsikute umepigwa alfu 3 tu na umekimbia humu kulia lia wakati wenzio tulishapigwa hela ndefu sana na bado tunaendelea kudunda.
Dah Sjui kama Gono hla nmepigwa hela yangu [emoji22]Gonooo
Et sikumwambia et namchukuliaje?Imekuaje akazingua?
Thante JolinePole sana
Madhara ya kuingia kichwa kichwa ndo hayo Sasa,hivi ulikuwa unafanya Nini Hadi hawara wako akasepa na pesa bila kukupa tunda?Mzee hyo Tu 30'000 mzee usawa huu
Yaani kaja lodge kufanyaje sasa?Et sikumwambia et namchukuliaje?
Nenda jando ukafundweDah [emoji24][emoji24][emoji24] hivi nyie wenzangu wa humu ndani mnawezaje kumbembeleza mwanamke mwenzenu nmeshindwa hapa nimetoka kupigwa hela ya lodge demu kazingua ikabidi nimwambia aende na game sijapiga hii hela si Bora ningelewa najuta Mimi na hii sio mara ya kwanza nashindwana na demu sababu ya kumbembeleza [emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]
Hela ya nn tena
Dah kuna namba nifanyeje hapaNenda jando ukafundwe
Kaniudhi kiseng***Yaani kaja lodge kufanyaje sasa?
Dah sa ningefanyaje hapo?Madhara ya kuingia kichwa kichwa ndo hayo Sasa,hivi ulikuwa unafanya Nini Hadi hawara wako akasepa na pesa bila kukupa tunda?