haya baba yaishe huku nadhani hainabfaida ya kubishana!!kama vipi potezea!!haina haja ya ligi!!kwani kuna dalili mimi nikuogope au wewe uniogope baada ya kujuana!!hivyo tuendelee kuheshimiana tuu mkuu!!
Ukiwa na mawazo potofu yaliyojaa pendeleo na utawala wa mfumo dume unaweza kuona kama hawana kazi
Mimi si msemaji wa Jeshi wala siyo mmoja watoa habari idaya ya mawasiliano ya Jeshi.
Ukitaka kuelelewa vizuri nenda Upanga ulizia ofisi yao waombe wakupeleke idara ya habari na mawasiliano kisha waulize swali lako utapatiwa majibu sahihi zaidi
haya baba yaishe huku nadhani hainabfaida ya kubishana!!kama vipi potezea!!haina haja ya ligi!!kwani kuna dalili mimi nikuogope au wewe uniogope baada ya kujuana!!hivyo tuendelee kuheshimiana tuu mkuu!!
kuwa mwanajeshi hapa TZ ni raha sana wengine mpaka wanastaafu jeshi hawajui hata uwanja wa vita unafananaje.ila kweli inawezekana hao wengine watakuwa wanapangiwa shughuli nyingine