Hivi wana chit chat nimewakosea nini?

Kha ha ha ha ha ha haaaa! sweetlady mambo vp? PakaJimmy popote ulipo habari ya siku tele! Nilikuwa napita tu nikasema niwasalimu member niliowaona muda huu humu kitegoni! Mi mzima wa afya njema!


Hahahaha!


Mnataja taja majina tuuu tena kwa mistari isiyo na vina source:Afande Sele lol!

PakaJimmy shikamoo! Afu useme sijakutaja.
 
Last edited by a moderator:
Umekosea.
Actually umerudia kosa.
Ukinitaja anza na @ ili hata nikiwa pangoni nipate nakala! we vipi?

Mh! unanongwa weye! haya paka JIMMY EEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!
 
Last edited by a moderator:
Kha ha ha ha ha
ha haaaa! sweetlady mambo vp?
PakaJimmy popote ulipo habari ya siku tele!
Nilikuwa napita tu nikasema niwasalimu member niliowaona muda huu humu
kitegoni! Mi mzima wa afya njema!

LIVERPOOOL FC! sema! bora we hujaja na hasira! kuna Pakajimmy humu! duh, ana roho mbaya huyo! kanipigisha kelele kutaja jina lake tu mpaka koo linaniuma!
 
Last edited by a moderator:
Mh! unanongwa weye! haya paka JIMMY EEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEEE!!!
Umerudia kosa.
Unganisha jina langu bana. Mi naitwa PakaJimmy, sio Paka Jimmy!...utasababisha Madame B anikatae kule Tanga akidhani ni mtu mpya.
 
Last edited by a moderator:
Wivu sina, ila roho inaniuma kuwateka marejesho, sweetlady na sasa unamtaka na Smile, kisa eti kwaajili ya pesa zako. Ungejua unapokuwa safarini huwa wanasema kuwa wamekuganda kwasababu mzee unamwaga mafao kama njugu!

mpaka upate wa kukubuki, utalalama sana! Safari lazima uende na hadi sasa bila bila! Hah hah hah hah!
 
Last edited by a moderator:
Kha ha ha ha ha ha haaaa! sweetlady mambo vp? PakaJimmy popote ulipo habari ya siku tele! Nilikuwa napita tu nikasema niwasalimu member niliowaona muda huu humu kitegoni! Mi mzima wa afya njema!
Mkuu LiverpoolFC
Nimeamua kuja C C leo tu ili kufuatilia na kujihakikishia kwa macho yangu jinsi mwenzetu Filipo alivyoshikwa mapembe na wanawake hawa wapya, ukiacha wale 13 wa Manyara na Singida alikoanzia kazi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu LiverpoolFC
Nimeamua kuja C C leo tu ili kufuatilia na kujihakikishia kwa macho yangu jinsi mwenzetu Filipo alivyoshikwa mapembe na wanawake hawa wapya, ukiacha wale 13 wa Manyara na Singida alikoanzia kazi.

Kwa taarifa yako, wanaonitaka ni wengi ila nitakuwa na wife wangu marejesho! Wengine nitawa PM tu!
 
Last edited by a moderator:
"Oho hooooo! hata mi huwa nakukubali meeen! vp mambo? weekend tukale wapi mishkaki ya swala na myai ya korongo?
mishikaki ya swala inapatikana kimara kwa hakuna Mungu. twende lini?. mia
 
Hamna cha poo wala pooh! Kwanza nakudai salamu za besdei wewe.

Wee nawee!
Unatuona sie vichwapanzi eti? Hapa kwenye uzi huu hauna chochote kilichokuleta, zaidi ya kukurupuka ulipoona hilo neno @poo !
Danganya wasokujua!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…