Hivi Wamasai wote wamejenga mjini? Wanalala wapi?

Hivi Wamasai wote wamejenga mjini? Wanalala wapi?

Wamasai hawapangi chumba/nyumba wala kununua nyumba mjin zaid ya vibanda vyao walivoviacha porini labda modernize Maasai. Ni sawa na wahindi kununua nyumba au kupanga nyumba/vyumba zinazomilikiwa na raia binafsi na waache kupanga nyumba za dezo kutoka NHC
 
Tokea niwafahamu hawa ndugu zangu hasa wale wanaokuja kutafuta maisha mjini, tukianzia wale wa Arusha kule hadi hawa wa chalinze hapa wanapoingia jijini Dar es salaam huwa wanalala kwenye malindo na wengine huishia kulala stendi

Kulikoni ndugu zetu, ni ubahili au ndio ule msemo wa mjini mmetumwa pesa?
 
Mchana tunauza dawa, visendo vya ngoz ,mikanda ugoro nk

Usiku tunaenda lindo
 
Form one;
Sahihisha sentensi hii, "Tulikuwa hatuna nyumba, baba akaamua kupangisha kwa mzee MALEBO"
 
Natoka nje ya mada! Mbona ni nadra sana kuona Mmsai mlemavu awe wa ngozi au wa viuongo😎
 
Natoka nje ya mada! Mbona ni nadra sana kuona Mmsai mlemavu awe wa ngozi au wa viuongo[emoji41]
Mlemavu wa viungo nishamuona yupo pale kituo Cha mafuta total Cha ilala boma opposite na ofisi za mkuu wa mkoa analinda pale kituoni
 
Huwa wanalala guest. Sijui ni nini wanaficha mpk hawapendi kupanga!!
 
Ukitaka kujua wanapolala mpe mmoja kazi ya ulinzi utapata jibu giza likiingia... Au kama una nyumba za kupanga mpangishe mmoja chumba utaiona shughuli yao giza likiingia
 
Wanalala kwenye ma yard ya magari, ukiweka mlinzi mmoja mmasai usiku wanakuja kujazana wengi asubuhi wanasambaratika wote
 
Back
Top Bottom