mumewanguu
JF-Expert Member
- Mar 2, 2018
- 261
- 259
Ndio jina langu mkuuaisee sasa hilo jina lako hapo juu naanzaje kukuita kwa mfano..
Ndio jina langu mkuuaisee sasa hilo jina lako hapo juu naanzaje kukuita kwa mfano..
sasa baba yako, mama yako na dada zako huwa wanakuita vipiNdio jina langu mkuu
Wananiita jina la mtoto Wang Yan babaflanisasa baba yako, mama yako na dada zako huwa wanakuita vipi
Mchana tunauza dawa, vitendo vya ngoz ,mikanda ugoro nk
Usiku tunaenda lindo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji115]hawa jamaa usiku hupotea
Mchana tunauza dawa, vitendo vya ngoz ,mikanda ugoro nk
Usiku tunaenda lindo
Wapo.kwao hukoNatoka nje ya mada! Mbona ni nadra sana kuona Mmsai mlemavu awe wa ngozi au wa viuongo[emoji41]
Mlemavu wa viungo nishamuona yupo pale kituo Cha mafuta total Cha ilala boma opposite na ofisi za mkuu wa mkoa analinda pale kituoniNatoka nje ya mada! Mbona ni nadra sana kuona Mmsai mlemavu awe wa ngozi au wa viuongo[emoji41]