miaka hiyo petrol ilikuwa bidhaa adimu.
jumapili mchana ni marufuku magari ya watu binafsi kutembea.
Muheshimiwa Nyerere alitoa tamko kwamba,ukiwa kwenya mteremko unatakiwa utoe gear ku save mafuta.(kama gari lako lina break,la sivyo..........)
Mfano kwa wananchi kuwa nao wanaweza kutumia PHOENIX bicycle.......Kama rais kaipanda sasa wewe utapata wapi nguvu ya kuikataa???? KUONGOZA KWA VITENDO ILIKUWA HIYO (Enzi za Mwalimu)
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.