[emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee naona umeamua kutunanga wenye sura za kupulizia moto, sasa tunamgawia nani wakati mzunguko wa kutongozwa ni mdogo?Ndio kuna bidada wako siriazi sana hadi sura zinatisha, sababu ya sura zao mzunguko wa kutongozwa ni mdogo lakini haimaanishi wana tabia nzuri la hasha!
Tena ndio watoaji wazuri.
Mara nyingi tunawaonea warembo kwa kuwaona hawajatulia kumbe wanasumbuliwa sana kwa uzuri wa sura zao.
Naoa kitu roho inataka mie
Si inajulikana kuwa alipata ajali? Ujue wewe kama wewe unakuwa umeplay part yako mengine unamuachia Mungu. Ukiwa na mawazo kama hayo hutokaa uridhishe nafsi yako, utakuwa unaogopa kila kitu kizuri kwaajili ya mambo ambayo yako nje ya uwezo wako?[emoji23][emoji23] Ndoa siyo ya siku moja, hivi ikatokea siku mke wako kapata ajari, bahati mbaya sura ikaharibika, je utamuacha mkeo?
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Km ndoa ingekuwa sura, hakika wanawake wa bar wengi wangekuwa kwenye ndoa.Si inajulikana kuwa alipata ajali? Ujue wewe kama wewe unakuwa umeplay part yako mengine unamuachia Mungu. Ukiwa na mawazo kama hayo hutokaa uridhishe nafsi yako, utakuwa unaogopa kila kitu kizuri kwaajili ya mambo ambayo yako nje ya uwezo wako?
Mkuu mbona wangoni sijasikia sifa yao mbaya?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sura ya kupuliza moto
Kwanini mnatuhukumu kabila zima kwa makosa ya wachache?
Unataka akuite jina gani ?[emoji1787][emoji1787][emoji23],ananijaza ujinga tu eti "baba yangu"
Daaah,akhamisaaaa mkuu,gweleiii nje nje kama fahaaa na nanuuu ako,Upo sahihi ako, naas
SaayuGarmaa Saita
Saayu
Haydom ulikuwa unafanyia wapi Field? Hospitali, Shule? AU CULTUREMwaka fulani nilipata field uko hydom
Nchi ngumu hii[emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]utakuwa umefanana sura na baba yake labda
[emoji123]Kama ulipiga game basi fresh mkuu imeisha iyo umetuinua kwa kiasi flani
Sent from my Infinix X650B using JamiiForums mobile app
EkizakitiliFuraha yako unataka maamuzi ya wengine..!! Wewe Kama unataka kuoa oa..humu kila mtu ana lake utaambiwa wa ovyo kumbe watu hutofautiana roho .
HospitalHaydom ulikuwa unafanyia wapi Field? Hospitali, Shule? AU CULTURE