[emoji1787][emoji1787] tunatuhumiwa na hela za manyoka. I wish ningekuwa nazo hata hizo za manyokaLa kwenu huwa mnaonewa kwa kweli,matukio ni machache mno kulinganisha na idadi yenu.
Mtahukumiwa kwenye biashara,japo nayo mengi sio ya kweli, nina marafiki wengi wa upande wa huko mafanikio yao mengi ni ya kujibana matumizi tofauti na sisi tunao jilipua
Mkuu huyu Mwanamke yuko wapi sasa?Hahaaa mle mle,hata huyu du kwenye story zake lazima aniulize lini nipo free aje geto nifinye
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1787][emoji1787] tunatuhumiwa na hela za manyoka. I wish ningekuwa nazo hata hizo za manyoka
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila anko tuende mbele turudi nyuma mbona kuna makabila hayahukumiwi?
Amen anko[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mungu yu pamoja nawe, siku si nyingi utapata hela nyingi na zilizo halali kwa matumizi halali.Tumtegemee kwa kila jambo jema pasi kukata tamaa
Mkuu Khantwe ngoja nikusaidie kuhusu wasukuma. Kwanza naomba kudeclare interest nina unasaba nao.[emoji1787][emoji1787][emoji1787] umeona anko, ukiona kila siku unafokewa wewe tu jua una tatizo. Huo mfano niliokupa siku ukiona wanafokewa niite
Mkuu mbona wangoni sijasikia sifa yao mbaya?Mkuu Khantwe ngoja nikusaidie kuhusu wasukuma. Kwanza naomba kudeclare interest nina unasaba nao.
Wasukuma wanaolewa bado wadogo sana kati ya miaka 14-18. Wanaume wa kisukuma wanajua sana matumizi ya papuchi, akioa mwaka unaofuata ana mtoto tayari na karibu kila mwaka mke wa kisukuma anabebeshwa mimba na uzao wao ni watoto 10+.
Familia ya watu 10+ ni kama mgahawa hasa ukizingatia size ya chakula wanachokula hawa ndugu zangu, kwa hiyo mke yuko busy asubuhi mchana na jioni na usiku mzee anapiga papuchi kama kawa.
Kwa mazingira haya huyo mwanamke anatoa wapi muda wa kugawa papuchi? Ila ukiwakuta mazingira tofauti na hayo wanagawa vizuri tu, tena huwa wa kushika mkono tu hawasumbui kutongoza. Wanapenda sana mwanaume awe 'msafi' na 'mjanja' si unajua hivi vitu kule adimu.
Kwa uzoefu wangu wa kuzunguka hii nchi na kuishi maeneo tofauti, hakuna mwanamke (wa kabila lolote) anayekataa mwanaume, kama mdau alivyo kwambia pale juu, leta kabila lolote hapa na waungwana watakupa wasifu wao.
Hao sitawazungumzia, ngoja wadau waje...Mkuu mbona wangoni sijasikia sifa yao mbaya?
Usiombe, hao wambulu cha mtoto. Ila sio woteMkuu mbona wangoni sijasikia sifa yao mbaya?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee ahsante ila mimi maoni yangu hayajabase kwenye papuchi tu nimemuangalia mwanamke katika nyanja tofauti. Mwisho wa siku ni kweli tabia ya mtu hubakia kuwa suala binafsi bila kujali kabila lakeMkuu Khantwe ngoja nikusaidie kuhusu wasukuma. Kwanza naomba kudeclare interest nina unasaba nao.
Wasukuma wanaolewa bado wadogo sana kati ya miaka 14-18. Wanaume wa kisukuma wanajua sana matumizi ya papuchi, akioa mwaka unaofuata ana mtoto tayari na karibu kila mwaka mke wa kisukuma anabebeshwa mimba na uzao wao ni watoto 10+.
Familia ya watu 10+ ni kama mgahawa hasa ukizingatia size ya chakula wanachokula hawa ndugu zangu, kwa hiyo mke yuko busy asubuhi mchana na jioni na usiku mzee anapiga papuchi kama kawa.
Kwa mazingira haya huyo mwanamke anatoa wapi muda wa kugawa papuchi? Ila ukiwakuta mazingira tofauti na hayo wanagawa vizuri tu, tena huwa wa kushika mkono tu hawasumbui kutongoza. Wanapenda sana mwanaume awe 'msafi' na 'mjanja' si unajua hivi vitu kule adimu.
Kwa uzoefu wangu wa kuzunguka hii nchi na kuishi maeneo tofauti, hakuna mwanamke (wa kabila lolote) anayekataa mwanaume, kama mdau alivyo kwambia pale juu, leta kabila lolote hapa na waungwana watakupa wasifu wao.
Chukua wako poaNataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka babati,binti ametokea kunipenda sana,mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamzi ya kuwa na uhusiano nae ila kadili siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa,coz she is real beautiful,umbo zuri na rangi nzuri pia ,halafu ananijali sana kimatendo,siku za hivi karibuni amenikadhania niende kujitambulisha kwao,nipeni abc za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision
Pia mke mwenye sura ya kupuliza moto unalisemaje hilo?Kama unaolea sura, oa. Hila kama tabia usikurupuke, ndoa itaota mbawa mapema sana
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]sura ya kupuliza motoPia mke mwenye sura ya kupuliza moto unalisemaje hilo?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] aisee ahsante ila mimi maoni yangu hayajabase kwenye papuchi tu nimemuangalia mwanamke katika nyanja tofauti. Mwisho wa siku ni kweli tabia ya mtu hubakia kuwa suala binafsi bila kujali kabila lake
Kipenda roho, kuna anaependa sura, tabia tutarekebishana, anaependa tabia, sura tutaikuta dukani.Pia mke mwenye sura ya kupuliza moto unalisemaje hilo?
Oa mke mnayeweza kuongozana barabarani.Kipenda roho, kuna anaependa sura, tabia tutarekebishana, anaependa tabia, sura tutaikuta dukani.
Sent from my 5023F using JamiiForums mobile app
Ndio kuna bidada wako siriazi sana hadi sura zinatisha, sababu ya sura zao mzunguko wa kutongozwa ni mdogo lakini haimaanishi wana tabia nzuri la hasha![emoji1787][emoji1787][emoji1787]sura ya kupuliza moto
Kama ulipiga game basi fresh mkuu imeisha iyo umetuinua kwa kiasi flaniOk,shukran sana mkuu,nimeanza kuunganisha dot
Mim nilikuwa sitaki kusex nae mapema lakini yeye last week Ali force kusex tena getoni kwake,,najiuliza tu yawezekana tupo wengi,,mhhh
Ni kweli kabisaNi sawa, nilibase kwenye kugawa papuchi sababu ndiyo tuhuma nzito wametupiwa wairaq kwenye uzi huu.
Otherwise kama ulivyosema tabia ni hulka ya mtu, kwa hiyo pamoja na watu kuwalaumu sana wairaq haiondoi ukweli kwamba anaweza patikana mke bora tokea kabila hilo, hata Rome kuna waislamu.
[emoji23][emoji23] Ndoa siyo ya siku moja, hivi ikatokea siku mke wako kapata ajari, bahati mbaya sura ikaharibika, je utamuacha mkeo?Oa mke mnayeweza kuongozana barabarani.