Siyo wa mbulu watakuwa wa tu wa kondoa warang wanyaturundo kazi wanayoipenda, wapo wengi sana maeneo ya Shivaz kwa chuga, sinza kwa dar na chako ni chako dom
Wambulu jino moja mzigo ndaniSiyo wa mbulu watakuwa wa tu wa kondoa warang wanyaturu
Sent from my TECNO BB2 using JamiiForums mobile app
Daah kwa sasa siwezi bado nina maumivu sana.Tupe habari kisa mkasa
DaahMmefikia wapi kwenye huu uwekezaji
Mkuu Mimi nilikua mbishi kama wewe.Si kweli... Ni mawazo ya walio wengi... Na hii imetokana na uzuri wao,, wengi wamekua wakichukuliwa na kupelekwa mijini kuwa wafanyakazi wa ndani na barmaid's, ugumu wa maisha na familia walizotoka hujikuta wameingia katika mtego huo.. na mwiraq hafichiki utamgundua tuu kimwonekano.. lakini kiuhalisia sio tabia ya watu wa kule...
Kuna jamaa nae alishanitajia usithubutu kuoa mkerewe, wana shida gani nao hao?Tanzania tuna Makabila zaidi ya 120, ila haya walasitothubutu
Wajita, Wakerewe, Wazinza, Wahaya, Wanyambo, Wanyamwezi, Wambulu, Wairaqwi, Wangoni, Wanyiramba, Wamwela, Warangi, Wanyiramba.
Wairaq marage ya mbea mjombaNataka niwekeze kwa binti wa kiiraq kutoka Babati, binti ametokea kunipenda sana. Mwanzoni moyo wangu ulikuwa mzito kuchukua maamuzi ya kuwa na uhusiano naye ila kadri siku zinavyozidi kwenda naona kwamba atanifaa, coz she is real beautiful, umbo zuri na rangi nzuri pia halafu ananijali sana kimatendo.
Siku za hivi karibuni amenikazania niende kujitambulisha kwao. Nipeni ABC za mabinti wa kiiraq kabla sijafanya final decision.
Unajuaje sasa hugongewi..au unajipa moyo tu. Unaenda nae kazini? Unasafiri nae?Ndugu mleta mada wewe ni mwanaume na unapaswa uwe mwanaume fanya kile kilichoafikiwa na moyo wako akili yako na dhamiri yako ikiwa inaongozwa na Mungu.
Hakuna mwanamke mbaya moja kwa moja hata kama ni mbaya kiasi gani
Hakuna kabila au jamii mbaya moja kwa moja hata kama hio jamii inahusishwa na ubaya kwa kiasi gani.
Kuna watu wameoa kwenye familia za wachawa na washikina lakini Wamepata mke bora.
Wengi wanaotoa ushauri hapa hakuna alie oa wala kuolewa kwa hio mambo ya ndoa yapo juu ya uwezo wao na ndio maana wanatoa ushauri dhaifu sana eti utagongewa!!!
Mtu aliekwisha oa ama kuolewa hua hawazi tena kugongewa na mambo kama hayo.
Ushuhuda yupo mama mmoja muirak kijijini kwetu aliweza kuolewa na mchaga na ndoa yao mpaka sasa ipo na imedumu mpaka sasa wana wajukuu wakubwa kabisa.
Kama unavyojua harakati za wanaume wa kichaga kwenda kutafuta maisha mjini karibu mwaka mzima hali amemuacha mke nyumbani.
Ndivyo ilivyokua kwa huyu mzee ninae mshuhudia hapa, nakuambi wanaume wenzake walio oa wachaga wake zao walikua wanatoka nje kwa kiasi kisichoelezeka mpaka kuzaa na nje ya ndoa lakini kwa huyu mmbulu ilikua tofauti na matarajio ya walio wengi.
Mimi mwenyewe nimeoa kanda hio hio. Nilipoenda kumtambulisha kwetu kwamba binti huyu ni kanda ya manyara watu walinicheka ya kuwa nitagongewa kwani ndio tabia yao! Mpaka sasa mwaka wa 6 ndoa iko powa mno no kugongewa wala nini.
Kabla yake nilikua naishi na binti mmoja mchaga mwenzangu lakini nilishuhudia akigongwa mara mbili na mwishowe kanikimbia.
Kwa hio usisikilize kila maoni ya watu yakwamba watu fulani wako vile ama hivi.
Mimi na kushauri muoe huyo dada na kushuhudia ndugu yangu utakuja kushukuru hapa hapa jamii forum ya kwamba ulifanya chaguo sahihi.
Mungu awaongozeni na kuwasameheni kwakua mmesha zini na ili mahusiano mazuri na Mungu ya wareeni muoe huyo dada.
Na mwanza wapo wapo mkuu na kidimbiwi niliwaonaNdio kazi wanayoipenda, wapo wengi sana maeneo ya Shivaz kwa chuga, Sinza kwa Dar na chako ni chako Dom
Mwanza wapo kiwanja gani?Na mwanza wapo wapo mkuu na kidimbiwi niliwaona
Ukiwaita Wambulu, huwa hawapendi sema 'Wairaq'.Do for your own risk!
Kuna makabila hua wanawezana wao kwa wao tu mm nimeishi nao sana wewe Kama sio mmbulu uko kwao wanakuita omoo!
Hao ndo wa kuoa sasapil ukioa hawa hata kama unapesa kias gan na mtaan kukawa na muuza bucha au kinyozi wa kutoka uko kwao lazma ampe yan wao kwa wao uwaambii ktu hata utombee mwiko bado ataliwa tu nje
Ndoa haiangali kabila,sura wala rangi,
Lau tungezingatia makabila tusingeoa
Chamsingi fanya uchunguzi, fika kwao,au tuma mpelelezi akukusanyie data za huyo mwanamke na familia yake kwa ujumla kisha pitisha maamuzi
Kuna jamaa nae alishanitajia usithubutu kuoa mkerewe, wana shida gani nao hao?