Hivi wairaq wapoje kitabia?

Status
Not open for further replies.
sema nn wakati wanafua nepi za mtoto alizojisaidia..

huchanganya zile nepi zenye uharo na shati la baba..

tena lile jeupe vinafuliwa pamoja,sijui kama unanielewa..
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] aisee!
Meaning; Tabia ya uchafu.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]aisee naona umeamua kutunanga wenye sura za kupulizia moto, sasa tunamgawia nani wakati mzunguko wa kutongozwa ni mdogo?
Wanaume tuna tamaa Sana Hata awe mbovu atatongozwa tuu ,Mara nyingi wapenda vitonga huwakimbilia vibungo

One love
 
Kwa miaka ya zaman hanang' ilikuwa wilaya ya mbulu, tafuta kitabu cha darasa la nne geography miaka hiyo uone kilimo cha ngano ni mbulu ktk maeneo ya Qatesh endasaki ikiwa ndan ya Qatesh
miaka ya zamani ipi? hapo unazungumzia mwaka 60 au 70 hivi
 
Bwahahahaha. ..mtoa mada wupoo? ?
Santo sana
Wengi wao ni weupe sana...

Wanahuruma sana, hawapendi kuona binadamu mwingine anaumia kwa ajili...

Wepesi wa kutoa majibu ya nimekubali, au asipotoa jibu ni wewe tu kujiongeza...

Mengine tuyaache kama yalivyo...
 
Hao hawajuagi kukataa.. Nimewahi kuwa na demu wa kiiraq, hata baada ya kuachana naye niliendelea kupiga kama kawaida.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸƒπŸƒπŸƒπŸƒπŸƒ
 
Cjaoa lkn wazazi wangu wananimbia kwa kuwa naendaga uko kikazi aise nisije zubutu kuwalete hao watu na mnyaturu. ....mm binafs nakaa noa nao jirani hawajui cha mdogo wal cha mkubwa watakuzalilikisha Sanaa kwenye jamii kwa kuwa ataliwa na Kila rikaa

Kimsingi kam wee Ni mwiraq bas oa mzee mnk wanawezana wao kwa wao other wise oa mchaga kulikon hao viumbe
 
Status
Not open for further replies.

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…