livafan
JF-Expert Member
- Oct 20, 2016
- 2,994
- 5,667
Vitakuwa ni vya Mzee wetu mpendwa Mch Gwajima maana alionesha nia ya kuwekeza ktk hili.Nawasalimu wadau wote wa Jf.... Miezi kadhaa iliopita Mh Raisi John P Magufuli alipotembelea bandari ya dar es salaam na kukutana na vitu alivyoviita kuwa ni Madudu yaan (Vichwa vya treni)vilikuwa havina mmiliki... Hivyo napenda kujua kutoka kwenu wadau hivyo vichwa mwisho wake ukoje?? Vilipata mwenyewe au vilirudi huko? View attachment 558162
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app