Hivi wadau vile vichwa treni viliishia wapi?

Hivi wadau vile vichwa treni viliishia wapi?

Joined
Jan 29, 2017
Posts
61
Reaction score
66
Nawasalimu wadau wote wa Jf.... Miezi kadhaa iliopita Mh Raisi John P Magufuli alipotembelea bandari ya dar es salaam na kukutana na vitu alivyoviita kuwa ni Madudu yaan (Vichwa vya treni)vilikuwa havina mmiliki... Hivyo napenda kujua kutoka kwenu wadau hivyo vichwa mwisho wake ukoje?? Vilipata mwenyewe au vilirudi huko?
Screenshot_2017-08-04-19-00-53.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kimoja kiko home tunakitumia km usafiri wa nyumbani kwani mgao haukufika hadi kwenu huko
 
Nawasalimu wadau wote wa Jf.... Miezi kadhaa iliopita Mh Raisi John P Magufuli alipotembelea bandari ya dar es salaam na kukutana na vitu alivyoviita kuwa ni Madudu yaan (Vichwa vya treni)vilikuwa havina mmiliki... Hivyo napenda kujua kutoka kwenu wadau hivyo vichwa mwisho wake ukoje?? Vilipata mwenyewe au vilirudi huko? View attachment 558162

Sent using Jamii Forums mobile app


Alivichukua mwenyewe Ridhiwani na kuvipeleka Msoga.
 
Soon utaviona 'barabarani'... Vichwa vya treni havifi kirahisi. Kichwa kimoja kinaweza kuishi miaka arobaini mpaka sitini! Ngoja dana dana za wanasiasa zifike ukingoni maana nasikia paliundwa tume!
 
Back
Top Bottom