Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,601
- 140,055
wanayakojoa
ungekuwa demu ningekuonyesha kama nina hela au sina. unaziona tu lakini huwezi kuzichukuaWewe hela huna
[emoji23][emoji23][emoji23]Tukiacha wale walio zaliwa na kukuta nyumbani yapo au walio pambana kiume na wakapata... Wengi wao magari yanatoka katikati ya miguu yao.
Samahani lakini
Sifa tu hamna kituWanaonijua wataijibia boss[emoji1476]
Sio suala la umepewa nini. Ni jinsi tu unavyomthamini huyo mtu mbali na uwezo wa kununua.sijui mpaka man ananunulia demu gari anakuwa kapewa nini.mimi niliombwa simu tu tukaachana. nikawaza si bora hiyo laki 6 nikawatumia wanaukoo kijijini wakalimia,wakaniombea kwa Mungu
Sifa gani kwa Mfano...Sifa tu hamna kitu
ConnectionUnakikuta Mdada mdogo tu hakijafika 30 yrs unapishana nacho kinadrive RANGE ROVER, wengine AUDI, PRADO na BMW hivi mnapataga wapi hizo ndinga.
Nikiwa kwenye kistarlet changu unapishana na dada sisterduu anasukuma ndinga hadi unaona aibu,
Kimahesabu ya harakaharaka gari kama AUDI si chini ya million 80 sasa kwa visistaduu unavyokutana navyo vinadrive haingii akilini kumiliki hiyo ndinga kwa umri wake,
hebu mtuambie mnapataga wapi hizo ndinga au ni za baba zenu nyie watoto wa kishua au ni nini?
Ngoja nikuambie siri moja. Katika wakati ambao corruption iko juu serikalini na mashirika ya umma ni sasa hivi. Achana na hao wanaosema ''vyuma vimekaza'' . Usininukuu vibaya: ni kweli vyuma vmekaza tena kwa wengi, ila kuna wachache wanaopata fedha za kufuru. Hao hao ma-DC, ma-RC, mawaziri, makatibu nk. Upande wa pili kuna visichana vizuri-zuri vinachipukia siku hizi ambavyo viko disparate kufanya chochote ili vipate vitu vya kukoga nyoyo za wengine. Vipate ''picha nzuri'' za ku-post Instagram. Vipate magari ya gharama ya kuringia. Sasa pande mbili hizi zikikutana i.e. wanaume wenye uchu wa fisi wa kugegeda visichana vingi kadiri iwezekanavyo + fedha za ziada VS visichana vizurizuri vyenye uchu wa maisha ya juu matokeo yake yanakuwa hayo ma-Range Rover, ma-Audi, Prado na BMW unayoyaona.
Tukiacha wale walio zaliwa na kukuta nyumbani yapo au walio pambana kiume na wakapata... Wengi wao magari yanatoka katikati ya miguu yao.
Samahani lakini
Kazi ganiSifa gani kwa Mfano...
Au unadhani kila mtu kaja humu kwa kazi hiyo