Hivi wadada vya under 30 wanatoaga wapi magari mazuri mjini hapa?

Hivi wadada vya under 30 wanatoaga wapi magari mazuri mjini hapa?

Tukiacha wale walio zaliwa na kukuta nyumbani yapo au walio pambana kiume na wakapata... Wengi wao magari yanatoka katikati ya miguu yao.

Samahani lakini
Hata kuyatoa katikati ya miguu ni kupambana pia.

Papuchi ni resource pia.
 
Wivu wa nini sasa? Labda kama unatamani uwe na papucee pia, japo kuna wengine ni za wazazi wao.
 
Jana nilisikia dada mmoja akiulizwa ni lini utaanza kujenga nyumba nae akajibu mwanaume ajenge na mimi naanzaje kujenga nikabidi nitoe mimacho tu ila dah hivi viumbe viache viendeshe ndinga kali tu mana wamepewa kale kakitobo
Sasa wengine hako kakitobo mbona hawana faida nacho
 
Unakikuta kidada kidogo tu hakijafika 30 yrs unapishana nacho kinadrive RANGE ROVER, wengine AUDI, PRADO na BMW hivi mnapataga wapi hizo ndinga.

Nikiwa kwenye kistarlet changu unapishana na kidada sisterduu anasukuma ndinga hadi unaona aibu,

Kimahesabu ya harakaharaka gari kama AUDI si chini ya million 80 sasa kwa visistaduu unavyokutana navyo vinadrive haingii akilini kumiliki hiyo ndinga kwa umri wake,

hebu mtuambie mnapataga wapi hizo ndinga au ni za baba zenu nyie watoto wa kishua au ni nini?
Ndugu yangu,
Mimi binafsi hua namheshimu sana mwanaume anaeendesha baiskeli kuliko mwanamke anaeendesha Range Rover! Ukiona mwanaume anaendesha baiskeli, ujue 100% hizo ni juhudi na jasho lake binafsi. Mwanamke anaweza akawa anaendesha hata lambojini, rozi rozi, bugati nk na ukakuta hajui hata lita moja ya petroli inauzwa bei gani.
 
Back
Top Bottom