Hivi wadada vya under 30 wanatoaga wapi magari mazuri mjini hapa?

Hivi wadada vya under 30 wanatoaga wapi magari mazuri mjini hapa?

Halafu uwe umesimama kwenye daladala mmeshonana mithili ya siafu kwenye foleni na pembeni ndio unamuona binti mdogo anakula kiyoyozi,na walivyo na sifa chombo haina tinted..itoshe tu kusema tafuta hela..!
 
Unakikuta kidada kidogo tu hakijafika 30 yrs unapishana nacho kinadrive RANGE ROVER, wengine AUDI, PRADO na BMW hivi mnapataga wapi hizo ndinga.

Nikiwa kwenye kistarlet changu unapishana na kidada sisterduu anasukuma ndinga hadi unaona aibu,

Kimahesabu ya harakaharaka gari kama AUDI si chini ya million 80 sasa kwa visistaduu unavyokutana navyo vinadrive haingii akilini kumiliki hiyo ndinga kwa umri wake,

hebu mtuambie mnapataga wapi hizo ndinga au ni za baba zenu nyie watoto wa kishua au ni nini?
Ngoja nikuambie siri moja. Katika wakati ambao corruption iko juu serikalini na mashirika ya umma ni sasa hivi. Achana na hao wanaosema ''vyuma vimekaza'' . Usininukuu vibaya: ni kweli vyuma vmekaza tena kwa wengi, ila kuna wachache wanaopata fedha za kufuru. Hao hao ma-DC, ma-RC, mawaziri, makatibu nk. Upande wa pili kuna visichana vizuri-zuri vinachipukia siku hizi ambavyo viko disparate kufanya chochote ili vipate vitu vya kukoga nyoyo za wengine. Vipate ''picha nzuri'' za ku-post Instagram. Vipate magari ya gharama ya kuringia. Sasa pande mbili hizi zikikutana i.e. wanaume wenye uchu wa fisi wa kugegeda visichana vingi kadiri iwezekanavyo + fedha za ziada VS visichana vizurizuri vyenye uchu wa maisha ya juu matokeo yake yanakuwa hayo ma-Range Rover, ma-Audi, Prado na BMW unayoyaona.
 
Unalala unaamka una kipya cha kuandika.

Tell you what fungua akaunti youtube hili swali lako zunguka vijiweni uliza watu mbalimbali kisha upload youtube.

A wise antagonist said "If you are good at something never do it for free" get paid for your bullshit mkuu.
Mbona kama unamfookeeeeeea😊

Au sista anasukuma Q8 umem-mind mshkaji?
 
Sasa mbona wanawake wote wanacho hiko kitobo na hawana hata baiskeli
Kitobo kinatakiwa kuambatana na sura na chura ndio utapata gari.
Ukiwa na kitobo tuu alafu sura na chura hamna sahau kupata gari
 
Tukiacha wale walio zaliwa na kukuta nyumbani yapo au walio pambana kiume na wakapata... Wengi wao magari yanatoka katikati ya miguu yao.

Samahani lakini
Aisee...hapo kati!
 
Tukiacha wale walio zaliwa na kukuta nyumbani yapo au walio pambana kiume na wakapata... Wengi wao magari yanatoka katikati ya miguu yao.



Samahani lakini

Embu fafanua mkuu
 
Unakikuta kidada kidogo tu hakijafika 30 yrs unapishana nacho kinadrive RANGE ROVER, wengine AUDI, PRADO na BMW hivi mnapataga wapi hizo ndinga.

Nikiwa kwenye kistarlet changu unapishana na kidada sisterduu anasukuma ndinga hadi unaona aibu,

Kimahesabu ya harakaharaka gari kama AUDI si chini ya million 80 sasa kwa visistaduu unavyokutana navyo vinadrive haingii akilini kumiliki hiyo ndinga kwa umri wake,

hebu mtuambie mnapataga wapi hizo ndinga au ni za baba zenu nyie watoto wa kishua au ni nini?
Audi wanazonunuliwa wengi ni za bei ndogo , usiogope na wewe pambana uagize
 
Sasa we unataka wafanyeje ndugu yangu? Hali yenyewe ya maisha ndio hii imeshakua ngumu, elimu hawana, ajira hakuna, biashara haziendi, watu wanaona bora wawekeze kwenye rasilimali pekee waliyobaki nayo! Na wanafanya uwekezaji mkubwa maana mda wote utavikuta gym na kwenye jogging vinaondoa vitambi, saluni, maduka ya nguo, na instagram ku post makalio ili kuvutia wateja zaidi.
Maisha ni kupanga, na kupanga ni kuchagua. Wala sina neno mkuu.
 
Back
Top Bottom