Hivi wadada vya under 30 wanatoaga wapi magari mazuri mjini hapa?

sijui mpaka man ananunulia demu gari anakuwa kapewa nini.mimi niliombwa simu tu tukaachana. nikawaza si bora hiyo laki 6 nikawatumia wanaukoo kijijini wakalimia,wakaniombea kwa Mungu
Jombaa nimekuwa nikisema hapa, never underestimate a man's stupidity when his judgement is clouded by a vagina.
 
Unakikuta Mdada mdogo tu hakijafika 30 yrs unapishana nacho kinadrive RANGE ROVER, wengine AUDI, PRADO na BMW hivi mnapataga wapi hizo ndinga.

Nikiwa kwenye kistarlet changu unapishana na dada sisterduu anasukuma ndinga hadi unaona aibu,

Kimahesabu ya harakaharaka gari kama AUDI si chini ya million 80 sasa kwa visistaduu unavyokutana navyo vinadrive haingii akilini kumiliki hiyo ndinga kwa umri wake,

hebu mtuambie mnapataga wapi hizo ndinga au ni za baba zenu nyie watoto wa kishua au ni nini?
Wanatumia uchumi wao badala ya kuukalia..ukiweza nawe jaribu..
 
Kuna manzi hapa mtaani anasukuma discovery 4 kwa maoni ya wadau wanadai aliichukua ikiwa mpya kutoka kwenye maganda yake, ngoja niingie chimbo kujua alilipataje.
 
Unakikuta Mdada mdogo tu hakijafika 30 yrs unapishana nacho kinadrive RANGE ROVER, wengine AUDI, PRADO na BMW hivi mnapataga wapi hizo ndinga.

Nikiwa kwenye kistarlet changu unapishana na dada sisterduu anasukuma ndinga hadi unaona aibu,

Kimahesabu ya harakaharaka gari kama AUDI si chini ya million 80 sasa kwa visistaduu unavyokutana navyo vinadrive haingii akilini kumiliki hiyo ndinga kwa umri wake,

hebu mtuambie mnapataga wapi hizo ndinga au ni za baba zenu nyie watoto wa kishua au ni nini?
Kama hazijatoka katika familia zao au upambanaji wao basi ujue ni wadangaji hao
 
Kondoo wote wana mikia lakini umewahi jiuliza nini kinawapata kondoo wenye mikia minene?
Wenye mikia minene wanakuwa docked Mara kwa mara,wengi wao mikia yao imekatwa mpaka basi.
 
Dar inakaliwa na watoto wa wafanyabiashara wakubwa na viongozi wakubwa kumiliki gari hizo ni kawaida
 
Unakikuta Mdada mdogo tu hakijafika 30 yrs unapishana nacho kinadrive RANGE ROVER, wengine AUDI, PRADO na BMW hivi mnapataga wapi hizo ndinga.

Nikiwa kwenye kistarlet changu unapishana na dada sisterduu anasukuma ndinga hadi unaona aibu,

Kimahesabu ya harakaharaka gari kama AUDI si chini ya million 80 sasa kwa visistaduu unavyokutana navyo vinadrive haingii akilini kumiliki hiyo ndinga kwa umri wake,

hebu mtuambie mnapataga wapi hizo ndinga au ni za baba zenu nyie watoto wa kishua au ni nini?
Wananyanduliwa tigo
 
Naamini akili, nguvu, bahati na techniques zimehusika.
 
Kimahesabu ya harakaharaka gari kama AUDI si chini ya million 80 sasa kwa visistaduu unavyokutana navyo vinadrive haingii akilini kumiliki hiyo ndinga kwa umri wake.
Wana kitu special ambacho wewe huna ndicho kinawafyatulia hayo magari
 
Back
Top Bottom