Itakua vyema kama tutajijadili tuliopo hapa. Au unaonaje?Mbona kama unamfookeeeeeea😊
Au sista anasukuma Q8 umem-mind mshkaji?
Yaweza kuwa atoka familia mboga sabaUnakikuta kidada kidogo tu hakijafika 30 yrs unapishana nacho kinadrive RANGE ROVER, wengine AUDI, PRADO na BMW hivi mnapataga wapi hizo ndinga.
Nikiwa kwenye kistarlet changu unapishana na kidada sisterduu anasukuma ndinga hadi unaona aibu,
Kimahesabu ya harakaharaka gari kama AUDI si chini ya million 80 sasa kwa visistaduu unavyokutana navyo vinadrive haingii akilini kumiliki hiyo ndinga kwa umri wake,
hebu mtuambie mnapataga wapi hizo ndinga au ni za baba zenu nyie watoto wa kishua au ni nini?
Wakutega unatega ila-kupata ma'Sponsors bado SanaSasa mbona wanawake wote wanacho hiko kitobo na hawana hata baiskeli
Mzee wa Toyota haelewi hizo gari kama hazina tofauti kubwa kwenye manunuzi isipokua maintenance tuAudi gani hio ya 80mill? Q7 au
Mmh sawaWanasema eti inabidi iambatane na chura
Ndo mimo nashangaa hapa hata sielewi...huyu jamaa anashangaaje Audi, sijui VW, au hata Range Rover...Mzee wa Toyota haelewi hizo gari kama hazina tofauti kubwa kwenye manunuzi isipokua maintenance tu
Hahahahahah, umewavunjia heshima bhana...Tukiacha wale walio zaliwa na kukuta nyumbani yapo au walio pambana kiume na wakapata... Wengi wao magari yanatoka katikati ya miguu yao.
Samahani lakini
KAma una sura na shape ya baba usahau kuhusu hii mamboSa wengine mbona hayatufikii, au tumekosea Gate[emoji848][emoji848]
[emoji2960] thubutuuuKAma una sura na shape ya baba usahau kuhusu hii mambo
Wanaonijua wataijibia boss[emoji1476]Wewe chura vipi ipo au
Kama ni wewe hpo kwenye profile picWanaonijua wataijibia boss[emoji1476]
Pengine muda huu amewekwa 'lokudaun' na kigogo. Maisha yana njia nyingi sana.
Duh!...🙄🙄🙄..Kondoo wote wana mikia lakini umewahi jiuliza nini kinawapata kondoo wenye mikia minene?
16 millionsZa bei ndogo sh. Ngap?