Hivi wadada vya under 30 wanatoaga wapi magari mazuri mjini hapa?

Hivi wadada vya under 30 wanatoaga wapi magari mazuri mjini hapa?

wanapatia wanapopatia wanaume wenye nayo kwenye huo umri.
 
Hakuna biashara inayolipa kwa wadada hapa mjini kama kuuza vinyeo
 
Wewe acha ushamba AUDI ni gari ya bei ya kawaida kabisa
Sawa na kununua Wish , Caldina, probox
Watu wanazikimbia tu kwa sababu hakuna upatikanaji wa haraka wa spare parts na mafundi wetu wamelewa na japanise vehicles hayo ya ulaya hawajui kuyatengeneza
Audi hata ikiuzwa laki 7, kwenye matunzo inakupiga middle finger kama umezoea probox na hizo wish zako na hapo ndipo heshima inakuja kwa mmiliki wa gari za Europe, comfortabilty, nguvu na speed usilinganishe na huo uchafu...
 
Tukiacha wale waliozaliwa na kukuta nyumbani yapo au walio pambana kiume na wakapata. Wengi wao magari yanatoka katikati ya miguu yao.

Samahani lakini
wee! ndi kwenye bill of lading ?
 
Back
Top Bottom