Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 23,108
- 28,237
WE WATIZAME TU NDG WALA USIJINGANISHE NAO SHUGHULI ZAO PEVU NDG,WAKIWA KWENYE ANGA ZAO NI HATARI SANA.Unakikuta Mdada mdogo tu hakijafika 30 yrs unapishana nacho kinadrive RANGE ROVER, wengine AUDI, PRADO na BMW hivi mnapataga wapi hizo ndinga?
Nikiwa kwenye ki-Starlet changu unapishana na dada sisterduu anasukuma ndinga hadi unaona aibu.
Kimahesabu ya harakaharaka gari kama AUDI si chini ya million 80 sasa kwa visistaduu unavyokutana navyo vinadrive haingii akilini kumiliki hiyo ndinga kwa umri wake.
Hebu mtuambie mnapataga wapi hizo ndinga au ni za baba zenu nyie watoto wa kishua au ni nini?