Tetramelyz
JF-Expert Member
- Apr 25, 2014
- 4,372
- 12,479
- Thread starter
- #141
Wake up...(Day Dreams) tehe
Kwa lugha ya taifa....
Wake up...(Day Dreams) tehe
Kwa lugha ya taifa....
Ndoto za Abunuasi..hahaha
Kwa maana hiyo hawa waliumbiwa nani?
Alaaa ww tenaa....ila isije ikawa umepanga vibuti inbox / PM tu Lol. Kuna wadau ma undercover humu balaa.
Kuchagua au??,alafu mimi sio shee
Duuu mkuu naomba ubadilishe avatar, nipo chini ya miguu yako!
Huyo anafanana na housegirl wangu....
Wepi hao,
Hahaha find out.
La mkono!!?
Hivo hivo....hujawahi kujaribu??!!
Nisaidie nawapataje??
![]()
Wanapatikana wapi,??