tang'ana
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 12,072
- 16,624
Wakuu,siku chache zijazo ntaelekea katika mji wa Norwich huko uingereza.
Sasa wakuu kwa kweli me vyakula vya wazungu kama burger,sandwich et al siviwezi na huwa sishibi kabisa.kwa hiyo nilikua naomba kujua kwa uingereza naweza kupata wapi vyakula kama ugali,wali au pilau,viazi vitamu,magimbi,mihogo,ndizi,makande na vyakula vingine vyenye asili ya Tanzania,au pia kama kuna restrictions zozote kama mama angu atakua ananitumia vitu kama unga wa mahindi kutoka Tanzania ili niwe najipikia mwenyewe?
Asanteni.