Eidj5
JF-Expert Member
- Jun 21, 2013
- 504
- 419
Najaribu Kukitoroka!
HAYA KK
Najaribu Kukitoroka!
Huitaji kuwa tajiri kufika Ulaya/Amerika etc. Jipange tu utafika.
hahaha na.we uliza kuhusu.hali ya dar wenyeji tukuelekeze lolmaisha hayana usawa.mimi natafuta nauli ya kunifikisha dar wenzetu mnawaza mambo ya kwa malkia?
na wakati wewe unatafuta nauli ya kwenda dar wenzako hawajua mchana watakula ninimaisha hayana usawa.mimi natafuta nauli ya kunifikisha dar wenzetu mnawaza mambo ya kwa malkia?