Hivi vitu bado vinanipa wakati mgumu kidogo.

dimaa

JF-Expert Member
Jul 30, 2016
4,143
5,610
Habari zenu waungwana, kiukweli bado kuna vitu hapa Jf vinanipa wakati mgumu kidogo kuvifanya na kuvitekeleza.

1. Followers ( inakuwakuwaje ?)
2. Following (inakuwakuwaje?)
3.trophy points (mgao wake ukojeukoje?)

Karibuni sana mtujuze kwa sisi ambao bado wanachanga in jf.


By


Young



Dimaa.
 
Followers ni members wa JF ambao wanakufuatilia
Following ni wale members ambao wewe unawafuatilia


Ukiingia profile ya member yoyote utaona kuna option ya kum-follow na yeye akiona vipi anakufollow

Kuhusu hizo trophy points sijazipata kidogo ila nafahamu kiasi tu... ziko hadi 280 na zinatokana na vitu mbalimbali ulivyofanya ndani ya jukwaa na huanza tu pale unapokuwa new member hadi JF Expert member (sijajua kwa undani mods wanazitoaje)

Anyways ngoja wataalamu waje, nimeeleza kadri nielewavyo..kama nmekosea ruksa kunisahihisha
 
Back
Top Bottom