Hivi vijana wengine mnaharakisha nini kuoa?

Hivi vijana wengine mnaharakisha nini kuoa?

Bila shaka huyo kijana ni MUHAYA maana ndo wanaendekeza sana mambo ya NGONO na kuoana bila mpangilio kwa kutegemea misaada toka kwa ndugu na jamaa. Zaidi huyo dada atakuwa kampa MFEREJI MARINGO WA MAJI TAKA (DAWASCO) aka TIGO ndo maana kijana hasikii lolote

dumbest comment from the dumbest creature I have come across so far...
 
Habari za asubuhi wana Jamii Forums.

Mwenzenu kuna jambo linaniumiza kichwa naomba fikra zenu.Kuna mtoto wa shemeji yangu tunamlea tangu wazazi wake wafariki miaka 14 ilopita kijana sasa yuko chuo mwaka wa pili.

Jana jioni amekuja kuniomba anataka kuongea na mimi nikamwambia sawa, kikubwa kwenye maongezi nikutaka kuoa
Nikamuliza amejipanga vipi sababu bado anasoma kwanini asimalize chuo ndio akafikiria kuoa.

Nimemwambia kwa roho safi tuu sababu yeye anaishi kwangu na wadogo zake ndugu za wazazi wao waliwakataa nimewalea mimi na hakuna kitu sija wapa nimejitahidi kadri ya uwezo wangu wasijisikie wanyonge.

Cha ajabu amekwenda kumwambia mume wangu kua simpendi na sitaki akae kwangu na mume anashikilia muache aoe eti mtoto akililia wembe mpe,imeniuma yule mtoto kusema hivi sababu hakuna nisicho jitahidi kwao yeye na wadogo zake.

Hata chuo school fees nalipa mimi leo nimekua simpendi, nimemwambia fikiria tena unachotaka kufanya.
huyo mke akiolewa nyumba yakukaa hana inabidi aje tena kukaa nyumbani.

Sielewi waungwana hebu nisaidieni, jee kumwambia subiri ni sawa au nimekosea.

Mmh!! Imekaa kama story ya kutunga vile. Ila laiti mie ningekuwa wewe nimempa ushauri akakataa... Ningeamua kumkubalia vizuri tu.. Kwa kuwa anataka kuwa baba mwenye familia maana yake ni kuwa anaweza kujimudu kwa hiyo mie ningeacha kwanza kumpa pesa yeyote(pocket money, school fees).

Pili, ningemwambia issue ya mahari ni juu yake yeye mwenyewe atalipa mchango nitakaompa ni kumsindikiza siku anapeleka hiyo posa.

Tatu, ningemwambia kufikia mwezi wa 4 awe kashatafuta sehemu ya yeye kuishi na familia yake mpya ili baada ya kuoa mwezi wa 5 apate pa kumweka mkewe.

Akikataa huo ushauri (1-3) nitaamua kumpeleka kwenye kwa mtumishi wa Mungu ninayemwamini ili akamwombee maana itakuwa sio akili yake ila karogwa tu na huyo binti au family yake maana kwa kijana anayejielewa wa level ya chuo kikuu hawezi kuwa na fikra za kipumbavu namna hiyo
 
..nikwambie kitu...pamoja na kuwa na majukum ya kumlipia karo unaonekana huna usemi kabisa juu yake...(voice of authority)...ni mtu gani asiye na fadhila ya hata kufikia kusema maneno ya uongo juu yako kwa mfadhili na mlezi wake?...imefikia wakati hata wewe unajiona guilty ilhali huna kosa...pengine anatake advantage ya udhaifu wako( kutokuwa firm on issues)......kuwa na msimamo...amini unacho amini,,hakulishi hakuvishi,,zaidi ya kukuongezea mzigo...kwanza kitendo cha kukuchongea kwa mmeo ni sababu tosha ya kusitisha ufadhili wako kwake..

Nadhani imani nnayo waonea kua hawana baba wala mama na sija enjoy ndoa yangu kwani wao wamekuja ndio nna mimba ya mtoto wangu niliwapenda sanaa na sikutaka wahisi kua hawana mama kuna time mumewangu ana wagombesha
mie nakwenda kuwabembeleza wanaweza kuongea na mimi lakini kwa mumewangu hawaendi,na amerudi kutoka chuo na Mapenzi yale yale alioondoka nayo amebadilika ghafla 24/7 yuko na cm hata chakula hali na sie na daima alikua ananambia Mama pengine hata wazazi wangu wangekua Hai nisinge pata malezi na mapenzi kama haya tuna bahati sana kulelewa na wewe,yani nikikumbuka machozi yananitoka tuu....naomba niishie hapa inaniuma sana.
 
Mmh!! Imekaa kama story ya kutunga vile. Ila laiti mie ningekuwa wewe nimempa ushauri akakataa... Ningeamua kumkubalia vizuri tu.. Kwa kuwa anataka kuwa baba mwenye familia maana yake ni kuwa anaweza kujimudu kwa hiyo mie ningeacha kwanza kumpa pesa yeyote(pocket money, school fees).

Pili, ningemwambia issue ya mahari ni juu yake yeye mwenyewe atalipa mchango nitakaompa ni kumsindikiza siku anapeleka hiyo posa.

Tatu, ningemwambia kufikia mwezi wa 4 awe kashatafuta sehemu ya yeye kuishi na familia yake mpya ili baada ya kuoa mwezi wa 5 apate pa kumweka mkewe.

Akikataa huo ushauri (1-3) nitaamua kumpeleka kwenye kwa mtumishi wa Mungu ninayemwamini ili akamwombee maana itakuwa sio akili yake ila karogwa tu na huyo binti au family yake maana kwa kijana anayejielewa wa level ya chuo kikuu hawezi kuwa na fikra za kipumbavu namna hiyo

Mkuu yote hayoo hayanishindi kumwambia au kumpa hela ya mahari akaoe na nyumba ya kukaa ipo na anajua,lakini nataka amalize masomo awe baba wakujitegemea i want to be proud of him sasa nikianza kusema hayo am sure atakua amesave senti zake hakosi M1-2 kwenye account yake manake anapenda ku save hela yake,lakini hiyo sio nnayo taka mimi lakini nikishindwa sidhani kama uamuzi ntakaotoa watapenda....
 
Nadhani imani nnayo waonea kua hawana baba wala mama na sija enjoy ndoa yangu kwani wao wamekuja ndio nna mimba ya mtoto wangu niliwapenda sanaa na sikutaka wahisi kua hawana mama kuna time mumewangu ana wagombesha
mie nakwenda kuwabembeleza wanaweza kuongea na mimi lakini kwa mumewangu hawaendi,na amerudi kutoka chuo na Mapenzi yale yale alioondoka nayo amebadilika ghafla 24/7 yuko na cm hata chakula hali na sie na daima alikua ananambia Mama pengine hata wazazi wangu wangekua Hai nisinge pata malezi na mapenzi kama haya tuna bahati sana kulelewa na wewe,yani nikikumbuka machozi yananitoka tuu....naomba niishie hapa inaniuma sana.

wanasema tenda wema nenda zako...shukrani ya punda ni mateke...wema mtendee mbuzi...kuwatendea wema ni sehemu ya utu na ubinadamu wako....umeona payback??..wakati mwingine huruma hutuponza....hujiuli kwa nini wewe pekee uwaonee huruma(kuna tatizo hapo)?wakati ndugu wengine wamekataa na maisha yanasonga??inakatisha tamaa kuona unayemjali hajali....cha msingi jitahidi kutoa hiyo roho ya ''huruma'' maana ndio inayokuponza...
 
kata msaada., hana adabu.
Maneno yake ndio yameniumiza SANA,eti angekuawepo mamangu asinge kata wewe sio mamangu ndio mana unakata
nilihisi ananitia kisu cha moyo bila huruma hata kusema chochote nimeshindwa,na uzuri baada ya kusema hayo nikamuita na mjomba wake akarudia tena hilo neno basi yule mjombaake ndio kampiga kibao nikamwambia apana usimpige wacha aonge kilicho moyoni mwake labda itakua dawa na nntajua che changu kwake....
 
Mmh pole my dear. Nashindwa hata kuelewa Huyo mtoto amekumbwa na nini, kinachomfanya achanganyikiwe hivyo na hayo mapenzi Ni nini? Hivi Ni akili zake Kabisa au? Huyo msichana naona Kama anamchezea tu mchezo, angekuwa hampendi Huyo mchumba mwingine Si angekataa tu kuposwa nae, au amelazimishwa kuolewa na wazazi wake ndo maana analazimisha kijana wako amuoe? Em ongea na kijana kwa kina ujue Ni nini kimetokea, afu muweke pia kwenye maombi, he may come into his senses
 
wanasema tenda wema nenda zako...shukrani ya punda ni mateke...wema mtendee mbuzi...kuwatendea wema ni sehemu ya utu na ubinadamu wako....umeona payback??..wakati mwingine huruma hutuponza....hujiuli kwa nini wewe pekee uwaonee huruma(kuna tatizo hapo)?wakati ndugu wengine wamekataa na maisha yanasonga??inakatisha tamaa kuona unayemjali hajali....cha msingi jitahidi kutoa hiyo roho ya ''huruma'' maana ndio inayokuponza...

Wallah jana ndio nimeona kua bora ningekataa,lakini still sikufichi namuomba mungu amfungue macho mie nikipenda napenda lakini nikisema basi ndio basi na hawa watoto niliwachukulia yatima nimesema leo nawasaidia hawa kesho mwenyezi mungu atasaidia wanangu na mimi mwenyewe na nimewapenda sawa na mpaka watoto wangu wanajua kua wale ni watoto wangu,lakini sawa kama ameamua sitoweza kulazimisha sana ila ntajitahidi...
 
Hata usipate shida, hapo umepata house girl bila kutafuta kama watakuja kukaa kwako, tena hakikisha kama una dada wa kazi mrudishe kwao akapumzike kwa kua house girl atakuwa kijileta, yeye aoe ila cha moto atakiona. Wanawake nasi kuona jamaa yupo chuo yeye kajua jamaa ndio kamaliza kila kitu, hajui kuna kupambana nakutafuta ajira, haya ngoja tuone.

Shosti nimechoka kulea nimelea mtoto weeeeeeeeeeeeeee sasa nile na mkwe apana asome apate kazi alee familia yake..
 
Dada. Mie nakushauri shikilia msimamo wako. Mwambie hukubaliani na wazo lake na wala usijihusishe kutoa mahari. Kama yeye anataka kuoa si alijua mahari inahitajika basi atoe yeye. Mie ningekuwa wewe nisingeshiriki katika hilo jambo kwa hali yeyote. Mwambie wewe kwa sasa unashughulika na elimu yake hdi atakapo maliza. Hayo mengine kama hataki kusikia ushauri wako mwambie asikuhusishe. Full stop. Sio jambo la kubembeleza. Hana akili hata kidogo, kw nin hajifikirii wewe uacha mamngapi kwa ajili ya elimu yake.
 
huyo mume wako nadhani hampend huyo kijana kama anashauri aoe. Kwa uwezo gan alonao aoe au atamtunza yeye na mke wake
Yani nimemshangaa sana nimemuliza huyo mke anaeolewa anaka wapi? anasema SIHAPA? nikakwambia si hapa kweli....
hatukuongea tena mpaka leo asubuhi chai tumekunywa kama mabubu....
 
Dada. Mie nakushauri shikilia msimamo wako. Mwambie hukubaliani na wazo lake na wala usijihusishe kutoa mahari. Kama yeye anataka kuoa si alijua mahari inahitajika basi atoe yeye. Mie ningekuwa wewe nisingeshiriki katika hilo jambo kwa hali yeyote. Mwambie wewe kwa sasa unashughulika na elimu yake hdi atakapo maliza. Hayo mengine kama hataki kusikia ushauri wako mwambie asikuhusishe. Full stop. Sio jambo la kubembeleza. Hana akili hata kidogo, kw nin hajifikirii wewe uacha mamngapi kwa ajili ya elimu yake.
Yani anashindwa kuelewa kua sio ndugu yangu ni mtoto wa marehemu shemeji sasa sijuianajionaje,sio akili yake sijui anataka kupatwa na maleria manake simfahamu yani sio yule kijana nnae mfahamu kabisaaaaaaaaaaa...
 
Mmh pole my dear. Nashindwa hata kuelewa Huyo mtoto amekumbwa na nini, kinachomfanya achanganyikiwe hivyo na hayo mapenzi Ni nini? Hivi Ni akili zake Kabisa au? Huyo msichana naona Kama anamchezea tu mchezo, angekuwa hampendi Huyo mchumba mwingine Si angekataa tu kuposwa nae, au amelazimishwa kuolewa na wazazi wake ndo maana analazimisha kijana wako amuoe? Em ongea na kijana kwa kina ujue Ni nini kimetokea, afu muweke pia kwenye maombi, he may come into his senses

Nimemuliza kuhusu ndoto alokua nazo za kua Rubani zimeishia wapi? kanambia she is my priority for now mom,vyengine later sikuamini masikio yangu, nimemwambia amlete huyo binti nimuone....
 
Mkuu yote hayoo hayanishindi kumwambia au kumpa hela ya mahari akaoe na nyumba ya kukaa ipo na anajua,lakini nataka amalize masomo awe baba wakujitegemea i want to be proud of him sasa nikianza kusema hayo am sure atakua amesave senti zake hakosi M1-2 kwenye account yake manake anapenda ku save hela yake,lakini hiyo sio nnayo taka mimi lakini nikishindwa sidhani kama uamuzi ntakaotoa watapenda....

Suala sio kuwa unashindwa kumsaidia kulipia hizo gharama ila kitendo tu cha kukataa kutoa pesa yako kugharamia inamaanisha kuwa haujakubaliana nae.... Yeye kuwa na hiyo 2M kwenye account ilihali hana another source of income afu ana mke ndani hiyo ni pesa ndogo sana so lazima atasanda tu.... We komaa na msimamo wako akiendelea kuwa mbishi wewe mwachie ulimwengu utamfunza
 
wewe ni mlezi mwema, simamia msimamo wako,,, kaa na mmeo mshauriane kwa upole na amani, atakusoma tuu...pole kwa majukumu.
Ahsante,lakini amenikosea sana kukubali sema hajakubali mbele yake manake wanamuogopa baba yao mimi ndio nilomwambia kua mtoto amesema anataka kuoa ndio yeye akasema Vizuri ndio nikamwambia atamuweka wapi huyo mke anasema kama vile ni kitu cha kawaida si atakaa hapa nyumbani.....
 
Hajitambui huyo,
simple and clear- mwambie aondoke kwako kwanza ndo aoe, mtege kuwa baada ya kuishi kwake miezi 6 ndo vikao vya harusi vianze. Umsikilizie...
 
Suala sio kuwa unashindwa kumsaidia kulipia hizo gharama ila kitendo tu cha kukataa kutoa pesa yako kugharamia inamaanisha kuwa haujakubaliana nae.... Yeye kuwa na hiyo 2M kwenye account ilihali hana another source of income afu ana mke ndani hiyo ni pesa ndogo sana so lazima atasanda tu.... We komaa na msimamo wako akiendelea kuwa mbishi wewe mwachie ulimwengu utamfunza
Ahsante kwa ushauri wako na ntajitahidi na ntazidi kumuomba Mungu kwa jinsi nilivya ambiwa huyo binti anakaa shamba
sasa sijui kapewa nini mpaka adabu zikamtoka na wamejua kua sitokubaliananalo....
 
enhe wa Zenji,lakini mambo yakulea wakwe nyumbani kwangu hakuna.....

Sasa Mungu akupe nini sasa Dada angu, Hapo cha kufanya usichangie hata senti katika hizo pilika, muache aoe...Tena kama hana kazi ndo kheri....Tafuta mtaji fungua biashara hata ya duka, mgeni siku ya tatu jembe begani ama neneee, unamwambia Shost kukaa bure haiwezekani, kaa dukani...
Unajipatia mfanyakazi wa bureee....
 
Hajitambui huyo,
simple and clear- mwambie aondoke kwako kwanza ndo aoe, mtege kuwa baada ya kuishi kwake miezi 6 ndo vikao vya harusi vianze. Umsikilizie...
Mkuu nimemwambia rudi shule mie mambo ya posa na vyengine ntafanya mimi ili niweze kumsoma mwanamke vizuri
ndio aliponambia kua kuna mtu kaja anataka kuolewa na asipo peleka mahari kabla hajakwenda chuo basi yeye ataolewa hamsubiri,nikamwambia anipe maana na penzi au kupenda,sababu kama kweli huyo binti anakupenda atakusubiri,mtoto hanielewi anasema Mom unamambo ya ukoloni sana... leo nimekua mkoloni mie?
 
Back
Top Bottom