Hivi vibwengo kweli vipo?

Hivi vibwengo kweli vipo?

Kibwengo wewe.
Nakumbuka nikiwa Loleza kulikuwa na uvumi Kuwa wapo wanatokea makuburini

Hata mimi nlisikia sana habari za hawa viumbe nlipokua mdogo huko Iringa. nliambiwa ni wafupi sana na wanaishi makaburini ila sikuambiwa wanaitwa kwa jna hlo bali Wanaitwa VISUKA. cc mshana jr
 
Last edited by a moderator:
Hata mimi nlisikia sana habari za hawa viumbe nlipokua mdogo huko Iringa. nliambiwa ni wafupi sana na wanaishi makaburini ila sikuambiwa wanaitwa kwa jna hlo bali Wanaitwa VISUKA. cc mshana jr

Ni vizuka sio visuka au pengine kila sehemu ina jina lake
 
Last edited by a moderator:
:shock: hawa wadudu tulikuwa tunakutana nao shulen enzi za form 2 huko misituni Mufindi, wana aibu hawataki kukutana na watu.
 
elf WA Scandinavia ni wakali sana!
niliwahi kudownload picha yao / iliniletea vituko sana!/zilikuwa zinaingia sms za Sweden balaa!,zisizo na Namba za simu!/
wapo elf wanaoua kabisa!/ unadownload you speak / special words/ you send via mms / god know wat will happen/
 
Hivi huwa wanavaa mavazi, na je huyatoa wapi? Wanakula nini?
 
Habarini jamvini,

Kumekuwa na tetesi ya baadhi ya watu kudai wameviona na umbo lake ni wazee sana wenye ndevu na ufupi wao ni kama 3/4 ya mita, hupendelea kuishi makaburini na sehemu za majengo ya kale,baadhi ya watu huhusisha vibwengo hao na wajerumani.Pia hudaiwa hutembea katika makundi ya mia mia na kiongozi huwa anakitambaa chekundu ambacho ukibahatika kukipata utapata utajiri mkubwa hivo wachawi huviwinda, habari hizi zilivuma sana shule za misheni kongwe Mkoani Iringa hususani shule ya Mkwawa secondary, Lugalo secondary na hususani TOSAMAGANGA sekondari,nimetumia herufi kubwa kuweka msisitizo muulize mtu yeyote aliesoma hapo mimi nina mdogo wangu anadai ameviona mara nyingi sana.Nataka jua Je habari hizi zimekaaje maana ilikuwa wakishatoka boarding likizo ndo stori zao.

Asanteni.
 
Huku kwetu wanatokea baharini, ila mimi sijawahi kuwaona bali hua nasikia tu
 
Kibwengo kina kitu kama king'ora cha polisi au ambulance pale juu ya utosi...
Kasheshe huwa inakuja pale akikuuliza swali umeanza kuniona wapi wakati nakuja?
Kwa kuwa kinajijua ni kijeba "mfupi kwa kimo", basi huuliza hilo swali kama mtego...
Salama yako ni pale tu utakapojibu kuwa nimekuonea kuleee, hapo autaachiwa na kitapotea ghafla.
Lakini ukijichanganya tu ukajibu kuwa nimekuonea hap, utakula bonge la kerebu halafu hata hutajua limetokea wapi.
hahahaaaa
 
Hahaaah dah, loong tyme asee, hivi ni vishetani cjui vidude gani, nakumbuka niliwahi kuviona viumbe vya ajabu kipindi nipo darasa la tatu hukoo kijijini kwetu, tulikuwa wawili, iliikuwa ni asubui tunawahi namba shuleni na kutoka home hadi shule ilikuwa unapita kilometa moja ktk kipori flani hivi hakuna nyumba zaidi ya majani yaliyojaa umande, pia sec tuliviona viingi tuu, hata wanafunzi wakawa wanafanyiana mchezo wa kipuuzi kisha kusingizia vibwengo, kuna siku jamaa wakati tupo kidato cha pili walikuwa na ugomvi na mshikaji wangu( marehem kwa sasa) wakataka kuja kumpaka rosheni mk**** ili kesho yake wamzushie katembelewa na kimbwengo ila kwa bahati mbaya wakati wanamvizia usiku huo tulikuwa macho tukawakimbiza na kwa kuwa ilikuwa usiku na bweni floor yake ilikuwa ya mbao wakati wanakimbia tukajua ni mtu gani alitaka kumfanyia jamaa kale ka mchezo hivyo tukaweka nadhili lazma kesho yake iwe stori, ilipofika saa nane usiku, tukachukua pilipili mbuzi zilizosagwa na kuchanganywa na maji, na tomato tukazichanganya, tukamwendea, tukamtaiti, akavuliwa nguo, akawekewa yeye ktk mk**** watu wakaminya nusu ya kopo la chili kisha kimya kimya watu wakarudi ktk vitanda vyao, haikupita hata dakika tano jamaa akatoa ukelele wa uchungu kiluo gani, mbio hadi assemble huku yupo uchi, nyuma ana tomato ambayo kwa usiku ilikuwa ikionekana kama damu, basi watu wakaanza ingiwa na woga kuzani jamaa kafanyiziwa hadi kuchanwa mk*** na vibwengo, basi jamaa habari ikazagaa kwamba kaliwa ndogo hadi imetatuliwa na vibwengo, jamaa kwa aibu sijui aliacha shule? Maana siku ya pili mida ya kula hakuonekana tena pale shuleni na sababu ni kuonekana tupu yake ya nyuma na kila mtu hadi wasichana...stori ya kibwengoo hahaaah ctosahau
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom