Hivi vibwengo kweli vipo?

Hivi vibwengo kweli vipo?

Manyara rench walikuwepo, mnapigiwa kengele asubuhi mnadhani kumekucha mnaenda mstarini mkifika tu fimbo zinatembea mnarudi ndani speed, yalikuwa yanaitwa mananau au manyang'au

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna jamaa yangu alikuaga mtu wa club sana,aliwahi kunipa stori kuna siku mida ya tisa tisa night kali anatoka zake kuruka debe ile anakatiza mitaa fulani akakutana na katoto kama ka miaka minne hivi dogo aka muomba fegi jamaa hilo nduki lake si mchezo na pombe yote iliish.mpaka leo akienda club kurudi hadi kupambazuke kabisa.
Hatari sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom