Hivi viazi vinaitwaje?

Bahati furaha

JF-Expert Member
Jul 11, 2012
3,053
1,409
Vinini.jpg


Nimekuwa nikiviona viazi hivi lakini sivijui jina lake.
Tafadhali mwenye jina lake asaidie hapa na kama scientific name ingenoga zaidi.
 
Kiswahili ni Ndunyasa...,
English air yam or air potato
Scientific name ni Dioscorea bulbifera
Asante sana Mkuu. Nimekuwa nikihangaika sana kujua jina la hvyo vijamaa kwa muda mrefu bila mafanikio.
Humu tunajifunza lkn anatokea ki..laz.a mmoja wa kichaga aropoka ropoka tu bila majibu na huku viazi hivyo vimejaa uchagani.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom