Bila shaka wewe utakuwa ni mchanga wa romboMamaya kwa kichaga
Hapo umeongea lugha ya roho mtakatifu mkuu.Kiswahili ni ndunyasa...english "air yam"
Scientific name ni Dioscorea Bulbifera
Acha uongo! Viazi vikuu vinachimbwa chini, lakini hivi vimamaya vinatolea Viazi vyake kwenye majani.Kiswahili viaitwa viazi vikuu au kiazi kikuu
Amina...Hapo umeongea lugha ya roho mtakatifu mkuu.
Kwani hicho ni kichagga?? Au ndio muendelezo wa mkurupuko wa mwendo kasiKichaga sio lugha ya Taifa mkuu

Kwa nini unasema uongo?, au umezoea jina lako la kichaga?Acha uongo! Viazi vikuu vinachimbwa chini, lakini hivi vimamaya vinatolea Viazi vyake kwenye majani.
Lakini Viazi vikuu na hivi vimamaya majani yake huwa yanakaribia kufanana kabisa tatizo ni kuwa majani ya Viazi vikuu ni magumu na makambakamba yake yana miiba
Wee kweli ni kitukoKwa nini unasema uongo?, au umezoea jina lako la kichaga?
Mbona sikuelewi? Hebu weka picha ya hicho kiazi kikuuWee kweli ni kituko
Si kila mtu anakurupuka kama unavyokurupuka wewe Mkuu.Kwani hicho ni kichagga?? Au ndio muendelezo wa mkurupuko wa mwendo kasi![]()
![]()
Kukurupuka nini sasa, ndio leo nakusikia wewe kuwa viazi vikuu vinachimbwa chini?Si kila mtu anakurupuka kama unavyokurupuka wewe Mkuu.
Hilo jina mh!!...huyo si mcheza mieleka mkuu!!Scientific name yake ni Alberto delrio, chimbuko Lake ni hispania