Bahati furaha
JF-Expert Member
- Jul 11, 2012
- 3,077
- 1,438
- Thread starter
- #41
Mwalimu wako alikuwa na shida sana. Kabla ya mkurupuko wako mimi nimestate humu kuwa viazi vikuu vinachimbwa chini?Kukurupuka nini sasa, ndio leo nakusikia wewe kuwa viazi vikuu vinachimbwa chini?
We kwa mtazamo wako vinaitwaje hivyo viazi?
Hata hivyo ni ndivyo ilivyo.
Humu hatuendi kwa mitazamo kama facts zinawezekana ndio maana mdau mmoja keshatoa jibu sahihi lakini kwa sababu ya uvivu wako bado unabwatabwata huku kulazimisha "jina la mtazamo wako".