pye Chang shen
JF-Expert Member
- Jul 11, 2016
- 11,681
- 6,382
Kwa ushahidi na maelezo haya ndio maana tunasema waislam ni wengi Tanzania,Exactly hizi ni mila za kiislam maana owani yote imekuwa influenced na Islam! Kuna connection kati ya uislamu na upwani kwa vile waarabu with islam walitawala Pwani . Sawa na bara, ukristo ni part and parcel of the daily life
Huwezi kukwepa ngono(kihalali) halafu muwe wengi