Third party nini wewe. Unaficha nini akati kila kitu kinaonekana africa hamna usiri. Watu wakitaka kukupekua hata leo hii wanaweza hata utumie sijui black berry gani. Chagua simu kwa ajili ya matumizi sio kwa ajili ya kuficha siri. Ni sawa na lijitu linabishana eti iphon ni nzuri then ukiimuliza uzuri wake anakuambia hata ikiibiwa mtu hawezi kufungua na n.k wakati iphon zinaibiwa mara kadhaaBlack berry simu bora ni wajanja pekee ambao wanatumia Blackberry
Donald Trump alivyopata urais alinyanganywa simu zke na akapewa Black berry
Blackberry mawasiliano yake yapo encrypted third party hawezi kuingilia.
Kama unajali privacy yko basi Blackberry ni bora ila kiushabiki nenda Androids "" loopholes,back door nk""
Smart people use Blackberry
Unapolala usiku ukaacha milango wazi mwizi ataingia na kusomba kila kitu kiurahisi lkn unapofunga milango,geti,dirisha haimaanishi hatoweza kuingia ila atapata ugumu,atapoteza muda na ataweza kukata tamaa..hvy hvy kwa Black berry utatumia nguvu nyingi na mwisho wa siku usiweze kufukunyua tofauti na AndroidsThird party nini wewe. Unaficha nini akati kila kitu kinaonekana africa hamna usiri. Watu wakitaka kukupekua hata leo hii wanaweza hata utumie sijui black berry gani. Chagua simu kwa ajili ya matumizi sio kwa ajili ya kuficha siri. Ni sawa na lijitu linabishana eti iphon ni nzuri then ukiimuliza uzuri wake anakuambia hata ikiibiwa mtu hawezi kufungua na n.k wakati iphon zinaibiwa mara kadhaa
Eti privacy!!!!!sasa mimi konda hio privacy ya nini?android is the bestUnapolala usiku ukaacha milango wazi mwizi ataingia na kusomba kila kitu kiurahisi lkn unapofunga milango,geti,dirisha haimaanishi hatoweza kuingia ila atapata ugumu,atapoteza muda na ataweza kukata tamaa..hvy hvy kwa Black berry utatumia nguvu nyingi na mwisho wa siku usiweze kufukunyua tofauti na Androids
Kama hujui umuhimu wa privacy ase utakuwa na matatizo
Na hata hiyo iPhone umuhimu wake siyo hiyo uliyoitaja
OS yake ipo secured vigumu kudukuliwa
Ttz wabongo tunapenda vitu vya bei che au virahisi rahisi kutumia vitu complicate hatuzipendi
hahhahhhahhah...hata mimi sijawahi kuzipendaSimu nilikua sizipendi zile,kama nisvozpenda galaxy,kila mtu alitafuta blackbery na suruali kadeti,bradhameni..dah,asante hiphope kwa kunifanya niwe gangster
Swali zuri san.Habari wanajamvi
Tujikumbushe na mnijuze hivi ule ushabiki wa blackberry uliishia wapi,maana ilikuwa kila kona ni kubadilishana BBM namba,kweli ivumayo haidumu,what happen to blackberry phones.
Naomba kuwakilisha
Ukijua ushabiki wa android ulianzia wapi basi hili litakua sio swali tena ila BlackBerry itaendelea kua juu tu achana na upepo wa watuHabari wanajamvi
Tujikumbushe na mnijuze hivi ule ushabiki wa blackberry uliishia wapi,maana ilikuwa kila kona ni kubadilishana BBM namba,kweli ivumayo haidumu,what happen to blackberry phones.
Naomba kuwakilisha
point.mkuuUnapolala usiku ukaacha milango wazi mwizi ataingia na kusomba kila kitu kiurahisi lkn unapofunga milango,geti,dirisha haimaanishi hatoweza kuingia ila atapata ugumu,atapoteza muda na ataweza kukata tamaa..hvy hvy kwa Black berry utatumia nguvu nyingi na mwisho wa siku usiweze kufukunyua tofauti na Androids
Kama hujui umuhimu wa privacy ase utakuwa na matatizo
Na hata hiyo iPhone umuhimu wake siyo hiyo uliyoitaja
OS yake ipo secured vigumu kudukuliwa
Ttz wabongo tunapenda vitu vya bei che au virahisi rahisi kutumia vitu complicate hatuzipendi
Black berry simu bora ni wajanja pekee ambao wanatumia Blackberry
Donald Trump alivyopata urais alinyanganywa simu zke na akapewa Black berry
Blackberry mawasiliano yake yapo encrypted third party hawezi kuingilia.
Kama unajali privacy yko basi Blackberry ni bora ila kiushabiki nenda Androids "" loopholes,back door nk""
Smart people use Blackberry
Uliambiwa ugangster=umaskini?Simu nilikua sizipendi zile,kama nisvozpenda galaxy,kila mtu alitafuta blackbery na suruali kadeti,bradhameni..dah,asante hiphope kwa kunifanya niwe gangster