Hivi ushabiki wa Blackberry phone uliishia wapi?

Maharo

JF-Expert Member
Aug 22, 2016
3,184
2,048
Habari wanajamvi

Tujikumbushe na mnijuze hivi ule ushabiki wa blackberry uliishia wapi,maana ilikuwa kila kona ni kubadilishana BBM namba,kweli ivumayo haidumu,what happen to blackberry phones.

Naomba kuwakilisha
 
usicheze na ujio wa android na vifaa vyake kwa wingi
eti elfu 60 unapata simu inayo sapoti wasap ma makochokocho kibao (japoinaweza kuwa second hand)

sasa BB pamoja na mfumo endeshi wao upatikanaji n.k kwa nini isipotee?

hivi karibuni walitoa BB pasport sijawah hata kuiona
japo wao wanasema shabaha yao ilikua kwa makampuni
 
Simu nilikua sizipendi zile,kama nisvozpenda galaxy,kila mtu alitafuta blackbery na suruali kadeti,bradhameni..dah,asante hiphope kwa kunifanya niwe gangster
 
Black berry simu bora ni wajanja pekee ambao wanatumia Blackberry

Donald Trump alivyopata urais alinyanganywa simu zke na akapewa Black berry

Blackberry mawasiliano yake yapo encrypted third party hawezi kuingilia.

Kama unajali privacy yko basi Blackberry ni bora ila kiushabiki nenda Androids "" loopholes,back door nk""

Smart people use Blackberry
 
Third party nini wewe. Unaficha nini akati kila kitu kinaonekana africa hamna usiri. Watu wakitaka kukupekua hata leo hii wanaweza hata utumie sijui black berry gani. Chagua simu kwa ajili ya matumizi sio kwa ajili ya kuficha siri. Ni sawa na lijitu linabishana eti iphon ni nzuri then ukiimuliza uzuri wake anakuambia hata ikiibiwa mtu hawezi kufungua na n.k wakati iphon zinaibiwa mara kadhaa
 
Unapolala usiku ukaacha milango wazi mwizi ataingia na kusomba kila kitu kiurahisi lkn unapofunga milango,geti,dirisha haimaanishi hatoweza kuingia ila atapata ugumu,atapoteza muda na ataweza kukata tamaa..hvy hvy kwa Black berry utatumia nguvu nyingi na mwisho wa siku usiweze kufukunyua tofauti na Androids

Kama hujui umuhimu wa privacy ase utakuwa na matatizo

Na hata hiyo iPhone umuhimu wake siyo hiyo uliyoitaja

OS yake ipo secured vigumu kudukuliwa

Ttz wabongo tunapenda vitu vya bei che au virahisi rahisi kutumia vitu complicate hatuzipendi
 
Ndio mobile phone industry hiyo Nokia(feature phone) na Blackberry(smartphone) ndio walikuwa market leaders kwenye sekta zao kwa miaka mingi.. Then jamaa wetu Steve Jobs akaja na kutikisa soko na iPhone. Hao majamaa wakawa awajajipanga kabisa maana hawakujua kama kitu kama hicho kitapendwa kiasi kile. Maana muda ule simu zao zilikuwa more advanced kuliko iPhone ile ya 2007.

Sasa baada ya hapo Mzee wetu Google kwa kutaka njia mpya ya kukusanya data zetu na kuuza akaja na Android, hapo ndio akawa maliza maana since ilikuwa open source OS ikamaanisha mtengeneza simu yoyote anaweza kutumia (ilimradi tu aweke Google play Store na kuinstall apps kadha za Google ) , ndio kina Samsung, HTC, Sony na LG wakaanza kupanda kwa kasi ya bugatti baada ya miaka kibao ya kusoma namba toka kwa Nokia.

Alafu wakaja kina Huawei na ZTE na kutengeneza simu zao za android za promotion 199,999tshs zenye whatsapp, Facebook. Unadhani nani atanunua tena Symbian/Meego, Windows Mobile au Blackberry (lisimu mpaka kutumia lazima uweke kifurushi special kile cha 20,000 sijui 30,000) 600,000+?

Fast forward kidogo.

Leo hii Blackberry kaachana na Blackberry OS na yeye anatumia Android na 2017 Nokia pia na kupinga kwake kutumia Android miaka ile ambayo ingemuokoa kuwa tena market leader na kuchagua Windows phone naye atatumia Android (according to rumors). Na Samsung aliyekuwa anashika mkia miaka yote leo ndio muuzaji mkubwa wa simu duniani Hahahahaha maisha haya wazungu wanasema "what goes up must come down"
 
Unapolala usiku ukaacha milango wazi mwizi ataingia na kusomba kila kitu kiurahisi lkn unapofunga milango,geti,dirisha haimaanishi hatoweza kuingia ila atapata ugumu,atapoteza muda na ataweza kukata tamaa..hvy hvy kwa Black berry utatumia nguvu nyingi na mwisho wa siku usiweze kufukunyua tofauti na Androids

Kama hujui umuhimu wa privacy ase utakuwa na matatizo

Na hata hiyo iPhone umuhimu wake siyo hiyo uliyoitaja

OS yake ipo secured vigumu kudukuliwa

Ttz wabongo tunapenda vitu vya bei che au virahisi rahisi kutumia vitu complicate hatuzipendi
Eti privacy!!!!!sasa mimi konda hio privacy ya nini?android is the best
 
Hahaaa ila still ni simu fulani hivi ina kick ya jina, mfano ukiweza chukua bb priv, utahisi confidence imeongezeka.
 
Binafsi natumia Blackberry 10 powered smartphone. Nimekua mtumiaji wa Blackberry kwa muda mrefu nilianza kutumia Blackberry bold 9700 nikiama kutoka Nokia E66 smartphone .sijawai kutumia Android powered smartphone niziona tu kwa wenzangu.Nimekuwa nafurahia blackberry yangu kwa kuwa inaniwezesha pia kutumia apps za Android kwa mfano hii jamii forum ninayotumia ni ya Android .Kuna devices nyingi mpya za Blackberry zipo sokoni kama vile Dteck50,Dteck 60,Blackberry Priv,Blackberry leap na Blackberry passport silver edition. So die hard fans wa blackberry tupo tunaenjoy Blackberry na tutaendelea kuwepo as long as Blackberry is still hitting the hood.
 
Simu nilikua sizipendi zile,kama nisvozpenda galaxy,kila mtu alitafuta blackbery na suruali kadeti,bradhameni..dah,asante hiphope kwa kunifanya niwe gangster
hahhahhhahhah...hata mimi sijawahi kuzipenda
 
Habari wanajamvi

Tujikumbushe na mnijuze hivi ule ushabiki wa blackberry uliishia wapi,maana ilikuwa kila kona ni kubadilishana BBM namba,kweli ivumayo haidumu,what happen to blackberry phones.

Naomba kuwakilisha
Swali zuri san.
Em' ntumie no.yako ya cm nikutumie hela ya soda
 
Habari wanajamvi

Tujikumbushe na mnijuze hivi ule ushabiki wa blackberry uliishia wapi,maana ilikuwa kila kona ni kubadilishana BBM namba,kweli ivumayo haidumu,what happen to blackberry phones.

Naomba kuwakilisha
Ukijua ushabiki wa android ulianzia wapi basi hili litakua sio swali tena ila BlackBerry itaendelea kua juu tu achana na upepo wa watu
12ac6cd68d60d6931401ebdde433123d.jpg
 
Unapolala usiku ukaacha milango wazi mwizi ataingia na kusomba kila kitu kiurahisi lkn unapofunga milango,geti,dirisha haimaanishi hatoweza kuingia ila atapata ugumu,atapoteza muda na ataweza kukata tamaa..hvy hvy kwa Black berry utatumia nguvu nyingi na mwisho wa siku usiweze kufukunyua tofauti na Androids

Kama hujui umuhimu wa privacy ase utakuwa na matatizo

Na hata hiyo iPhone umuhimu wake siyo hiyo uliyoitaja

OS yake ipo secured vigumu kudukuliwa

Ttz wabongo tunapenda vitu vya bei che au virahisi rahisi kutumia vitu complicate hatuzipendi
point.mkuu
 
Black berry simu bora ni wajanja pekee ambao wanatumia Blackberry

Donald Trump alivyopata urais alinyanganywa simu zke na akapewa Black berry

Blackberry mawasiliano yake yapo encrypted third party hawezi kuingilia.

Kama unajali privacy yko basi Blackberry ni bora ila kiushabiki nenda Androids "" loopholes,back door nk""

Smart people use Blackberry
dabbf97d1dad3cb53bcc00b5e900a73b.jpg
Throw Back Thursday
 
Back
Top Bottom