Unapolala usiku ukaacha milango wazi mwizi ataingia na kusomba kila kitu kiurahisi lkn unapofunga milango,geti,dirisha haimaanishi hatoweza kuingia ila atapata ugumu,atapoteza muda na ataweza kukata tamaa..hvy hvy kwa Black berry utatumia nguvu nyingi na mwisho wa siku usiweze kufukunyua tofauti na Androids
Kama hujui umuhimu wa privacy ase utakuwa na matatizo
Na hata hiyo iPhone umuhimu wake siyo hiyo uliyoitaja
OS yake ipo secured vigumu kudukuliwa
Ttz wabongo tunapenda vitu vya bei che au virahisi rahisi kutumia vitu complicate hatuzipendi